Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

mapumbafu yanafurahi,kukuza ndama mpaka kuwa ngombe ni gharama sana,Leo wanajiua kesho watafanyaje
 
Serikali isihusishwe na kifo cha mwananchi wake ?

Je huyo jamaa angepata utajiri na kuuza mifugo mpaka nje na kuletea kodi taifa tusingeiongelea serikali ya awamu ya 5 ?

When you take credit for all good things, don't forget to take responsibility when they go wrong...
Kwa hiyo alitakiwa kuvunja sheria ili akauze hizo ng'ombe zake?

Sidhani kama kuna nchi hapa duniani kila mtu anaishi atakavyo.

Huyo ana mapungufu ya akiri, sasa kafa na migugo badi ahjui kama atapigwa faini au atasiziwa,
Si angesubili kwanza aone mwisho wa hiyo picha.
 
Hii awamu sio ya kispot spot.watu wamevurugwa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Awashughulikie kivip? Japokuwa nasikitika kwa hili tukio.
Lakin niseme tu sheria imewapa nguvu askari wanyamapori kukamata mifugo inayoingia kwenye hifadhi bila kibali.
Mwenye mifugo atatozwa fine au akishondwa mifugo inapigwa mnada. Kwa mujib wa sheria za nchi.
Lazima ujue kuwa uhai wako una thamani kuliko wa wengine wote, hasa wale wanaokuletea matatizo.
Hivyo basi, mawazo chanya ni kuwaua wanaokusumbua kuliko kujiua mwenyewe (vyote ni uhalifu).
Hata hivyo, kuua mwingine au kujiua ni kosa la jinai na ni dhambi pia, ni muhimu kuiepuka na kutumia njia za kiungwana kupata muafaka.
 
Wafugaji wameshaonywa sana, semina kila siku na kubembelezana wasipeleke mifugo mbugani.

Mkutano wao wa mwisho kati ya wafugaji, TANAPA na mkuu wa mkoa waliambiwa wazi lile ndio onyo la mwisho asietaka kusikia na kuingiza n’gombe Ruaha National Park asilaumu wakitaifishwa na wakirusha mikuki zitarudi risasi.

Kuna watu wao awataki kuelewa somo kisa kuendekeza mila za kurandaranda maporini.
 
Twende taratibu kama huyo mwenye mifugo alikiuka taratibu mifugo ikakamatwa shida iko wapi. Tufwate sheria.
Niliwahi kubishana sana na watu mahali kuhusu wafanyabiashara wanaopanga biashara zao karibu na barabara, nikasema haitakiwi kisheria. Watu walitoa povu sana. Tuheshimu sheria na tuzigwate
 
Back
Top Bottom