Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.

Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao wamehifadhiwa ofisi ya wilaya.

Naye mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila amekiri kupata taarifa za tukio hilo na ametaka serikali isihusishwe kwa namna yoyote ile na uamuzi wa mwekezaji huo kujinyonga kwani huo ni uamuzi wake binafsi hakuna aliyemshinikiza.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Chalamila ana umri gani?
 
Semina elekezi za Ngurdoto kwa Viongozi zingerudishwa hata kama zitafanyikia kitovuni mwa Nchi

RC kujibu majibu ya Kiibilisi kama yale sio U Africa wala u Tanzania

Majitu ya bara mengi (sio wote) makatili makatili, mashenzi mashenzi yana uhaba wa ustaarabu sijui kwanini?
 
Kama Hayati Mwamba, Shahed Said Mwamwindi wa kule Iringa?
Kuna umuhimu wa kuwajenga wananchi kuwa na mawazo chanya katika mapambano.
Kwa nini asiwaze kuwashughulikia waliokamata mifugo yake?
 
Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.

Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao wamehifadhiwa ofisi ya wilaya.

Naye mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila amekiri kupata taarifa za tukio hilo na ametaka serikali isihusishwe kwa namna yoyote ile na uamuzi wa mwekezaji huo kujinyonga kwani huo ni uamuzi wake binafsi hakuna aliyemshinikiza.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kweni alihisi ndo mwisho wa maisha?si angeenda kutatua tatizo huko wilayani,ni jambo baya na la kusikitisha lakini hata mimi nasema huo ni uamuzi wake binafsi na usiokua na mashiko
 
Kama Hayati Mwamba, Shahed Said Mwamwindi wa kule Iringa?
Ili kuweza kukabiliana na changamoto za maisha na maendeleo ya dunia, wananchi wanatakiwa wawe na mtazamo chanya katika kujilinda wao binafsi na mali zao.
Hakuna faida hata kidogo ya taifa kuwa na raia wenye mitizamo ya kikondoo.
 
hivi huyu chalamila ana undugu na Rehema Chalamila "Ray C" binti kiuno bila mfupa ?
 
Kama ni wale wafugaji/Wachunga mufugo I stand with the government.
Uamuzi wa huyo mfugaji (tena siyo wafugaji ni wachunga mifugo) kujinyonga uheshimiwe. Ameona ni heri kufa kuliko kuacha kuharibu mazingira
Acha dharau, kutwa mnakula nyama mnadhani zinatoka wapi?
Serikali ndio haija weka mazingira rafiki kwa ufugajj
 
Huyu nae, why ajinyonge ? Angeenda kumroga tu mkuu wa mkoa.
 
Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.

Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao wamehifadhiwa ofisi ya wilaya.

Naye mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila amekiri kupata taarifa za tukio hilo na ametaka serikali isihusishwe kwa namna yoyote ile na uamuzi wa mwekezaji huo kujinyonga kwani huo ni uamuzi wake binafsi hakuna aliyemshinikiza.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kifo hakina chama. Apumzike kwa amani mwekezaji mzawa.
 
Back
Top Bottom