Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umehama chama?RC Chalamila jana alionekana kupitia ITV habari akiongoza operesheni hiyo na kuna mkwara aliupiga duh.........rip mwekezaji mzawa!
Ni KalimanzilaWewe kweli ni Kalumanzila!
ni sahihi, na inasemekana chanzo Ni vitisho alivyopata kutoka kwa baba yake kwa kusababisha ng'ombe kukamatwa hifadhini.Aliye jinyonga ni dogo tu ana miaka 22, nimeiona hii habari Leo Itv.
Daah.ni sahihi, na inasemekana chanzo Ni vitisho alivyopata kutoka kwa baba yake kwa kusababisha ng'ombe kukamatwa hifadhini.
Kama ni Taifa la wastaarabu, matamshi hayo ya RC yanamfanya moja kwa moja afukuzwe kazi. Ila bado tuko washenzi, maisha ya mtu hayana thamani.
Wewe na wengine mnaompuuza marehemu ni dalili tosha ya kuathirika na serikali ya ukandamizaji. Huyu mtu amejiuwa kwa kunyang'anywa kiini cha maisha yake. Katika hilo kila mtu ana namna yake ya ku react. Hata Ulaya, watu walio na vitu vingi, watu wamejiuwa kwa kupoteza walichoona ndiyo sababu kuu ya maisha yao.Yeye mwenyewe ndio aja ya thamini maisha yake.
Angenyongwa wote tunge sikitika, lakini kajinyonga mwenyewe!? acha afe tu.
huyo sio muwekezaji,huyo ni mfugaji wa kizamani tuMwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.
Bwashee kwani kuna chama cha siasa zaidi ya CCM?!Umehama chama?
Myabe true. But wafugaji wako aware na sheria za serikal.. but still wanazivunja. Wanatarajia nini?Serikali huwa inanyanyasa wafugaji sana hii.
Man japokuwa siungi mkono tukio lililotokea..Wewe na wengine mnaompuuza marehemu ni dalili tosha ya kuathirika na serikali ya ukandamizaji. Huyu mtu amejiuwa kwa kunyang'anywa kiini cha maisha yake. Katika hilo kila mtu ana namna yake ya ku react. Hata Ulaya, watu walio na vitu vingi, watu wamejiuwa kwa kupoteza walichoona ndiyo sababu kuu ya maisha yao.
Serikali za kishenzi huwa zinaathiri hata fikra za watu, watu nao wageuka wanyama hawana huruma!
Ukiona hivyo ujue huko huko maliasili kuna wanaowaruhusu hao wafugaji kuingia hifadhini baada ya kutoa kitu kidogo!Man japokuwa siungi mkono tukio lililotokea..
Lakin huyo marehem alikwua anafikiria nini?
Alijua kabisa anaingiza mifugo park,kitu ambacho ji kinyume na sheria.
Na sheria ziko wazi zinastate kuwa mifugo itapigwa fine.. or mwenye mali akishindwa kuleta fine.. basi mifugo hupigwa mnada.
Uzuri ni kuwa wizara ya maliasil imekuwa ikitoa elimu miaka na miaka kwa wafugaji wanaozungula maeneo ya hifadhi.
But guess what hawasikii? Still wanaingiza mifugo huku wakizijua sheria
Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.
Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao wamehifadhiwa ofisi ya wilaya.
Naye mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila amekiri kupata taarifa za tukio hilo na ametaka Serikali isihusishwe kwa namna yoyote ile na uamuzi wa mwekezaji huo kujinyonga kwani huo ni uamuzi wake binafsi hakuna aliyemshinikiza.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!