Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

CCM mnaua watu; mmewajaza watu hofu kiasi cha kuona ni afadhali kuutoa uhai kuliko kuikabili Serikali yao popote na wakapata haki hata mahakamani. Hili ni tatizo kubwa!!

Hii maiti ni yenu, muitafune sasa !! Ingekuwa amri yangu huyu Mkuu wa Mkoa angekuwa fired jana hiyo hiyo.
 
CCM mnaua watu; mmewajaza watu hofu kiasi cha kuona ni afadhali kuutoa uhai kuliko kuikabili Serikali yao popote na wakapata haki hata mahakamani. Hili ni tatizo kubwa!!

Hii maiti ni yenu, muitafune sasa !!
CCM inahusikaje hapo?
 
Huyo mfugaji ni mpu.mbavu na hakuwa na sifa za kuitwa mwekezaji! Taifa linapaswa kuondokana na "wawekezaji" mazuzu kama hayo! Mtu unajinyonga kisa ng'ombe 50 !!!???

Angekuwa mwekezaji mwenye maarifa angetafuta mwanasheria ( wakili) then ufuatiliaji wa hao ng' ombe ungefanyika na hata pengine angelipa fine na gharama zingine hasingepoteza ng'ombe 10 na angebaki hata na ng'ombe 40 ambapo ndani ya mwaka 1 pengine ng'ombe 10 wangeji- recover kupitia kuzaliana.

Sasa amenyinyonga, amepotea milele! Msibani kwake usikute ng' ombe wengi watachinjwa kuomboleza msiba wake!

Taifa lifanye jitihada kubwa kuondokana na " wawekezaji" mazuzu kama haya ambayo yana utajiri mkubwa lakini hayana makazi bora na yanaishia kulalia ngozi, hayasomeshi watoto na hayana hata siha nzuri ya akili na mwili!
 
Kuna umuhimu wa kuwajenga wananchi kuwa na mawazo chanya katika mapambano.
Kwa nini asiwaze kuwashughulikia waliokamata mifugo yake?
Mfumo wa kudai haki katika nchi yetu umekufa kabisa!! Hii inaanzia kwa kiongozi mkuu hadi katibu kata...wote ni utemi utemi tu - Tanzania sasa ni taifa la wenye hofu, taifa la watu wasiojiamini..taifa la waoga...imefikia hatua wananchi kuiogooa Serikali yao wenyewe zaidi ya ile ya mkoloni miaka ya 1940
 
Huyo mfugaji ni mpu.mbavu na hakuwa na sifa za kuitwa mwekezaji! Taifa linapaswa kuondokana na "wawekezaji" mazuzu kama hayo! Mtu unajinyonga kisa ng'ombe 50 !!!???

Angekuwa mwekezaji mwenye maarifa angetafuta mwanasheria ( wakili) then ufuatiliaji wa hao ng' ombe ungefanyika na hata pengine angelipa fine na gharama zingine hasingepoteza ng'ombe 10 na angebaki hata na ng'ombe 40 ambapo ndani ya mwaka 1 pengine ng'ombe 10 wangeji- recover kupitia kuzaliana.

Sasa amenyinyonga, amepotea milele! Msibani kwake usikute ng' ombe wengi watachinjwa kuomboleza msiba wake!

Taifa lifanye jitihada kubwa kuondokana na " wawekezaji" mazuzu kama haya ambayo yana utajiri mkubwa lakini hayana makazi bora na yanaishia kulalia ngozi, hayasomeshi watoto na hayana hata siha nzuri ya akili na mwili!
Tumekusikia Ras Kalimanzila!
 
Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.

Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao wamehifadhiwa ofisi ya wilaya.

Naye mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila amekiri kupata taarifa za tukio hilo na ametaka serikali isihusishwe kwa namna yoyote ile na uamuzi wa mwekezaji huo kujinyonga kwani huo ni uamuzi wake binafsi hakuna aliyemshinikiza.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Chalamilaaaa,kasome kesi ya Mwamwindi!!!
 
Ingependeza kama angeachia madaraka na si mpaka avuliwe madaraka ukizingatia huyu aliyesababishiwa kujinyonga ni mtanzania na mzalendo kwa kosa lake hakutakiwa kusumbuliwa kiasi cha kukata tamaa kiasi hiki mpaka kukatisha maisha tujifunze kuwahehimu wawekezaji wa ndani
 
Ng'ombe wa kuhama hama kama hao hawawezi ku- fetch milioni 1 per each !

Hadi wanakamatwa hifadhini wakiharibu mazingira hao ni ng'ombe njaa!

Halafu na wewe unaonekana ni wale wafugaji au wakulima wa mitandaoni! ambao wanapiga hesabu za shina moja la tikiti maji litanipa tikiti 10 ,nikiwa na mashina 10,000 nitapata matikiti 100,000 na kila tikiti moja nitauza 5,000/= ,Jumla nitapata Tshs.500,000,000 ,then nitanunua Range Rover Sports na kubakiza change!
USELESS PEOPLE WITH USELESS MINDS.
 
Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.

Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao wamehifadhiwa ofisi ya wilaya.

Naye mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila amekiri kupata taarifa za tukio hilo na ametaka Serikali isihusishwe kwa namna yoyote ile na uamuzi wa mwekezaji huo kujinyonga kwani huo ni uamuzi wake binafsi hakuna aliyemshinikiza.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kaamua kujichukulia sheria mkononi,that must have to be devils mission,which is killing,stealing and destroying...
 
Sasa hapo serikali itahusikaje na mtu kujinyonga? Mwisho wa siku ilitolewa amri mifugo iondolewe kwenye Pori yeye kama hakutii na ikakamatwa ko alaumiwe nani?

Kwanza RC alitakiwa asikitike kwa kitendo cha mhalifu kujitoa uhai na kuinyima mamlaka kuhukumu kesi ya ukaidi wake ilivyostahili

Ila kama aliporwa mifugo hilo ni suala tofauti
 
Chalamila ndiye mtu wa kwanza wa kulaumiwa maana yeye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kusisitiza kuwa hao ng'ombe lazima wakamatwe na sheria zichukue mkondo wake.
Sasa kama RC kakosea nini? Ulisikia kakamata ng'ombe kapeleka kwake au maeneo walioyatenga? Tena kawa straight kwamba sheria uchukue mkondo wake

Nilimsikia anasema kama kawaida ya wafugaji walianza kupiga simu wahonge pesa
 
Back
Top Bottom