Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,672
- 1,814
Hata kama. Matamshi ya RC ni rubbing salt to the wound, si ya kistaarabu na angefukuzwa.Man japokuwa siungi mkono tukio lililotokea..
Lakin huyo marehem alikwua anafikiria nini?
Alijua kabisa anaingiza mifugo park,kitu ambacho ji kinyume na sheria.
Na sheria ziko wazi zinastate kuwa mifugo itapigwa fine.. or mwenye mali akishindwa kuleta fine.. basi mifugo hupigwa mnada.
Uzuri ni kuwa wizara ya maliasil imekuwa ikitoa elimu miaka na miaka kwa wafugaji wanaozungula maeneo ya hifadhi.
But guess what hawasikii? Still wanaingiza mifugo huku wakizijua sheria
Unachosema, ingawaje nina reservation juu ya sheria nyingi TZ na jinsi zinavyotungwa, kiasi hakuna ushauriano na waathirika wala remedy.....inaonesha tu tunaishi katika dola ya ushenzi, ambapo maisha ya mtu is the last thing of concern!