Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Awashughulikie kivip? Japokuwa nasikitika kwa hili tukio.Kuna umuhimu wa kuwajenga wananchi kuwa na mawazo chanya katika mapambano.
Kwa nini asiwaze kuwashughulikia waliokamata mifugo yake?
Lakin niseme tu sheria imewapa nguvu askari wanyamapori kukamata mifugo inayoingia kwenye hifadhi bila kibali.
Mwenye mifugo atatozwa fine au akishondwa mifugo inapigwa mnada. Kwa mujib wa sheria za nchi.