Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

Hata kama. Matamshi ya RC ni rubbing salt to the wound, si ya kistaarabu na angefukuzwa.
Unachosema, ingawaje nina reservation juu ya sheria nyingi TZ na jinsi zinavyotungwa, kiasi hakuna ushauriano na waathirika wala remedy.....inaonesha tu tunaishi katika dola ya ushenzi, ambapo maisha ya mtu is the last thing of concern!
 
Mitano tena
 
No body cares kuwa ni rubbing salt to the wound. Ukitaka ujue the goverment doesnt give a fuk about it.. nenda mahakamani.
Wenyewe wana play na vifungu vya sheria..they dont care about emotional state ya mtu.

Chalamila kaongea trash yes.. but hatoguswa. Why? Sheria huku chini imesha state.
 
Ukiona hivyo ujue huko huko maliasili kuna wanaowaruhusu hao wafugaji kuingia hifadhini baada ya kutoa kitu kidogo!
Exactly na huo ndio ukweli.
Kuna matajiri wakubwa tu wako mjini lakin huko vijijini wanamiliki mifugo kibao.

Na kwa namna nyingine wanapenyeza pesa kwa askari au viongozi ili mifugo ile.
Sasa wanazoea vibaya.. muda mwingine unakuta mfugaji anatembea na mil20.. porin?
Anafanya nazo nini?
Kama sio kuhonga.

Sometimes hard problems.. require hard solution
 
Duuh hatari hiyo Nchi walioweza kujikongoja nao wanapotezea ramani zao mpaka wanafikia kujiua dah mnawachukia wanaoweza kujiendesha wenyewe badala ya kutengeneza mazingira mazuri ya wao kufanikiwa zaidi...
 
Ukiona hivyo ujue huko huko maliasili kuna wanaowaruhusu hao wafugaji kuingia hifadhini baada ya kutoa kitu kidogo!
hifadhi Ni eneo kubwa sana mzee haliwezi kuwa covered lote, Kuna maeneo ili kujua mifugo imeingia na mahali ilipo Ni lazima warushe ndege ya patrol
 
Tena huko alipo kama watampokea wamtandike
Bakora za nguvu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…