Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu, nyoka akiuma binaadamu lazima tupige kelele ila nyoka akipigwa na binaadamu ni haki na sawa kabisaIngekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.
Own Goal.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.
Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.
"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Tulikofikia huku sio salama kabisaMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.
Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.
"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Ingekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.
CCM ndio serikali yenyewe, kwanini itegemee haki za binadamu waisemee?Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
Ooh uchunguzi kwa mzee Kibao umefikia wapi?Imeniuma sana kumpoteza kijana mtiifu kwa taifa lake na chama chetu .tunatoa wito kwa polisi kufanya uchanguzi wa kutosha kuhakikisha walimuua wanaopatikana na kuchukuliwa hatua stahiki
USSR
View attachment 3168062weny
Mwili ulitelekezwa..kwani wauaji walipaswa kuondoka nao? Kwa kua ni wa ccm Mungu ampeleke popote kulingana na matendo yake duniani.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.
Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.
"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Matendo haya yanatuonyeaha kuwa mifumo ya kiulinzi na kiutawala ina mapungufu makubwa na msishangae itafikia muda wananchi tutaungana voluntarily ili kujilinda wenyewe zidi ya madhila hayo.hatutaiamini tena dola na tutakwenda kinyume nayo.Inasikitisha sana!
Haya mambo ndio katoka kusema Askofu Yuda Thadeus Ruwa'ichi....
Naona taratibu tunaelekea kwenye matatizo makubwa sana kama Taifa....
Labda amejiteka na kujiua.Ingekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.
Sikuwah kufurahia kifo ila hii tunaita muosha kaoshwa..Ooh uchuguzi kwa mzee Kibao umefikia wapi?
Siku ya 100+ Leo Soka hajulikani hata yuko wapi mama yake ameomba wamletee hata mifupa azike.
Nyie mwili mnao kabisa wa kuzika mnalia?
Kifo ni kifo.
Kazi iendelee.
Ukweli ndiyo huo.Taratibu Taratibu, sumu inazidi kuenea Taifa la Tanganyika.. 🤨🤨🤨
Hakika.Msitufanye wajinga hakuna kitu kama hiki. Mnataka ku-balance story tu.
By the way ccm akifa mm nasikia raha na natamani wafe wengi zaidi.
Inasikitisha, inaumiza! Sarafu ili ikamilike lazima iwe na pande mbili.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.