TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

Imeniuma sana kumpoteza kijana mtiifu kwa taifa lake na chama chetu .tunatoa wito kwa polisi kufanya uchanguzi wa kutosha kuhakikisha walimuua wanaopatikana na kuchukuliwa hatua stahiki

USSR
Screenshot_20241203-142604.jpg
weny
 
Ingekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.
Ndugu yangu, nyoka akiuma binaadamu lazima tupige kelele ila nyoka akipigwa na binaadamu ni haki na sawa kabisa
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.

Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.

"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Own Goal.
 
Tulikofikia huku sio salama kabisa
 
Ingekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.

Ccm huwa wanadhihaki mpinzani anapouawa, ndio maana hakuna anayeongelea kifo Cha huyo jamaa.
 
Imeniuma sana kumpoteza kijana mtiifu kwa taifa lake na chama chetu .tunatoa wito kwa polisi kufanya uchanguzi wa kutosha kuhakikisha walimuua wanaopatikana na kuchukuliwa hatua stahiki

USSR
View attachment 3168062weny
Ooh uchunguzi kwa mzee Kibao umefikia wapi?

Siku ya 100+ Leo Soka hajulikani hata yuko wapi mama yake ameomba wamletee hata mifupa azike.

Nyie mwili mnao kabisa na mnaweza kuzika bado mnalia?

Kifo ni kifo.

Kazi iendelee.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.

Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.

"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Mwili ulitelekezwa..kwani wauaji walipaswa kuondoka nao? Kwa kua ni wa ccm Mungu ampeleke popote kulingana na matendo yake duniani.
 
Inasikitisha sana!
Haya mambo ndio katoka kusema Askofu Yuda Thadeus Ruwa'ichi....
Naona taratibu tunaelekea kwenye matatizo makubwa sana kama Taifa....
Matendo haya yanatuonyeaha kuwa mifumo ya kiulinzi na kiutawala ina mapungufu makubwa na msishangae itafikia muda wananchi tutaungana voluntarily ili kujilinda wenyewe zidi ya madhila hayo.hatutaiamini tena dola na tutakwenda kinyume nayo.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.

Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.

"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Inasikitisha, inaumiza! Sarafu ili ikamilike lazima iwe na pande mbili.
 
Back
Top Bottom