kafuta ambele
Senior Member
- Aug 7, 2017
- 184
- 515
Hatujafika hapa bahati mbaya mbegu hii imepandwa tangu 2016 sasa imememea na inaelekea kukomaa soon watu watapata mavuno yao.Sikuwah kufurahia kifo ila hii tunaita muosha kaoshwa..
Kalinga.ni mwagito huyu wa pale Ifunda Lungemba 🐼Imeniuma sana kumpoteza kijana mtiifu kwa taifa lake na chama chetu .tunatoa wito kwa polisi kufanya uchanguzi wa kutosha kuhakikisha walimuua wanaopatikana na kuchukuliwa hatua stahiki
USSR
View attachment 3168062weny
Kama CHADEMA ndiyo watakuwa wamemwua basi wapewe pongezi kwa ushujaa wa hali ya juu.Chagadema hao ndio wamemwua
Hatujafika hapa bahati mbaya mbegu hii imepandwa tangu 2016 sasa imememea na inaelekea kukomaa soon watu watapata mavuno yao.
Hii mbegu tulisema sio nzuri ila mkulima wakasema hapokei ushauri ni chuma na tingatinga.
Ndiko tunakopelekwa na WATAWALA, wanaojiona Nchi hii ni yao peke yao!Tabia ya kuharibu uchaguzi italeta tabia ya kutekana, kuuana na mwishoni nchi itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hasa kwa itikadi za kisisasa kama genocide au Civil war
Ni hatari mno.Ndiko tunakopelekwa na WATAWALA, wanaojiona Nchi hii ni yao peke yao!
Kwani CCM ni binadamu?Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
Umeshasema tayariSina cha kusema mimi...😷😷