TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

Tuendelee tu na hii auto pilot inayoendelea mpka ndege idondoke kabsa ndo nafikiri ruban atajua kuna kitu hakipo sawa na kinatakiwa kukomeshwa na kukemewa hadharani hawa wahuni kuna siku watamteka na kumfanyia vitu vya hovyo kiongozi mkubwa wanazidi kujiimarisha
 
Tukifiwa sisi (tunaoikosoa ccm) sio msiba,tukitekwa sisi ni drama,ama tumejiteka..msiba wa kina Ndungulile ni wa kitaifa ila wa kina mzee Kibao ni wa familia...manina!
Hatujafika hapa bahati mbaya mbegu hii imepandwa tangu 2016 sasa imememea na inaelekea kukomaa soon watu watapata mavuno yao.

Hii mbegu tulisema sio nzuri ila mkulima wakasema hapokei ushauri ni chuma na tingatinga.
 
Chanzo cha Matatizo yote ni CCM na vyombo vya dola vinafuata maagizo toka juu. Tunaelekea kubaya

 
Back
Top Bottom