Kwamuktadha
Senior Member
- Sep 6, 2024
- 159
- 110
Acha Siasa kwenye misiba. Kama wewe ni binadamu mwenye akili na utashi ungeanza kwa kutoa pole kabla ya kushangilia kifo!He found outy swifty....liquidated by who? Ccm wameanza kulana vichwa wao kwa wao
"Kila nafsi itakufa, na kila mtu atakutana na kifo kwa sababu yake."kumbe nao wanakufa,.🚶🚶
nilikuwa sijui,.. shukran"Kila nafsi itakufa, na kila mtu atakutana na kifo kwa sababu yake."
(Sahih Muslim)
Mdogo mdogo tunaelekea kwenye jino kwa jino! Jicho kwa jicho!Inasikitisha sana!
Haya mambo ndio katoka kusema Askofu Yuda Thadeus Ruwa'ichi....
Naona taratibu tunaelekea kwenye matatizo makubwa sana kama Taifa....
Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
hapa umeandika ukiwa na akili timamu kweli?Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
Si inakuwa deni limelipwa, usilalameCcm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
Kumbe na maccm nayo yanakufa? Au ndiyo drama tu kama alivyowahi kusema mwenyekiti wao ili kubalance matukio?Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.
Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.
"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
waambiwe vipi, wataelewa kweli walevi hawa wa utamu wa keki. Ngoja kwanza kilevi kiwatoke hakuna haja ya kuwaambia kwani wanajua vizuriWaambieni, huko Kenya vita ya mau mau ilianza hivi hivi.
Unataka waseme NiniCcm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
hapana ni mafisiKwani CCM ni binadamu?
too lateWalaaniwe wote wanaoua wenzao.
Huyu sijui chochote juu yake; ndiyo sababu nasita kuchukua upande. Siamini kamwe hata siku moja kwamba waTanzania wote waliomo CCM wana stahili haya yaliyo mtokea huyu.Imeniuma sana kumpoteza kijana mtiifu kwa taifa lake na chama chetu .tunatoa wito kwa polisi kufanya uchanguzi wa kutosha kuhakikisha walimuua wanaopatikana na kuchukuliwa hatua stahiki
USSR
View attachment 3168062weny
Amen🙏Aiseee
Haya mambo yanazidi kupamba moto
Mungu turehemu
Wanaofanya haya, Mungu yupo.
Nimecheka sana !!!Umeeiweka vizuri sanaNdugu yangu, nyoka akiuma binaadamu lazima tupige kelele ila nyoka akipigwa na binaadamu ni haki na sawa kabisa