TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

Ingekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.
Si ulaumu hata wewe mkuu kama unaamini hao uliowataja wamehusika, au umezuiliwa kulaumu?

Kwa akili ya kawaida tu huwezi kufananisha mauaji ya watu wa kijani na yale ya wapinzani na wengineo wanaotekwa mchana kweupe na kuuawa kisha kejeli za viongozi wa dola na wa sisiem.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.

Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.

"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Lucas Mwashambwa njoo uone drama na kifo ni kifo tu
 
Hizi siasa za Samia ni hatari sana sijui tufanye nini kwani 2025 itakuwa majanga hasa.
 
Kwa ninavyowafahamu vijana wa uvccm, si ajabu huyo marehemu alikuwa mastermind wa kupanga mipango ya kuwaua/kuwadhuru wapinzani huku naye akiwindwa na wabaya wake humo ccm!

Watu wa CCM siku mkijua kuwa maisha ni ubatili mtupu na hakuna aliye na haki ya kuamua hatima za watu wengine hapa chini ya jua ndipo mtakuwa na amani mioyoni mwenu. Kifo cha Magufuli nilitegemea kiwe somo zito sana kwenu, ila kwakuwa hamjitambui hamkuambulia chochote!
 
CCM wakishamalizana na wewe wanakuua wewe mwenyewe
 
Subiri na wewe siku yako ya kuoshwa kwakuwa unapofurahia kifo cha mwenzio na wewe siku Moja Kuna watu watafurahia kifo chako.
Wewe utaingia peponi kwa magari ya kijani ya ccm? Mimi nikifa nitafanya bonge la sherehe..kwa kua hamuwezi kuniteka tena,hamtaniua tena,sitopiga kura ya ndiyo na hapana tena...Kwanza hapa nachukia kwanini bado unavuta hewa safi ya Oxygen..bangladesh
 
Back
Top Bottom