TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
Serikali yao ndo iko madarakani na inao uwezo wa kuzuia hayo. Sasa Watetezi wa haki za binadamu wanamtetea ambaye hana mtetezi, nyie wengine mnakufa kwa uzembe wa serikali ya Chama chenu.

Yaani ni sawa na mkopo wa HESLB. Utamtetea mtoto yupi aliyekosa mkopo kati ya hawa? 1.Mtoto wa mkulima hohehahe au 2.Mtoto wa Mkurugenzi wa Shirika kubwa la Serikali?
 
Haya mambo Yanatisha sana.

Naogopa sana maana Baba yangu ni mtu yupo Kwenye siasa , Huwa nawaza sana
 
Ingekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.
Vyovyote iwavyo, tunapata ujumbe wa aina moja, kuwa nchi haipo salama, Serikali imeshindwa kulinda raia wake, Rais ameshindwa kutoa uongozi wenye tija kwa Taifa.

Kijana mdogo kabisa amepoteza maisha yake:

Je, ameuawa kwa sababu ni kiongozi wa UVCCM? Au kauawa kama mwananchi wa kawaida?

Nani kamwua, kwa sababu gani? Ni visasi au kaonewa tu?

Tunakoelekea ni kubaya sana!! Ikifikia hatua wananchi wakaona mtu kuuawa au kutekwa ni kitu cha kawaida, kama anavyoona Rais wetu au Spika Tulia, tujue tumeingia kwenye laana!

Kama Rais Samia anaona hana uwezo wa kuyazuia haya, kwa ushauri wenye dhamira njema, asigombee Urais mwakani, awaachie wenye uwezo wa kuyadhibiti haya, la sivyo atasababisha watu wengi kupoteza maisha, na damu zao zitakuwa juu yake, tena ataacha historia mbaya kabisa vizazi na vizazi.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.

Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.

"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.

Tumekumisi Roma, rudi nyumbani roma, uwatetee ndugu zako ×2.

Mimi sina chama lakini ukiniambia nichague kati ya ccm, chadema na andazi.
 
Vyovyote iwavyo, tunapata ujumbe wa aina moja, kuwa nchi haipo salama, Serikali imeshindwa kulinda raia wake, Rais ameshindwa kutoa uongozi wenye tija kwa Taifa.

Kijana mdogo kabisa amepoteza maisha yake:

Je, ameuawa kwa sababu ni kiongozi wa UVCCM? Au kauawa kama mwananchi wa kawaida?

Nani kamwua, kwa sababu gani? Ni visasi au kaonewa tu?

Tunakoelekea ni kubaya sana!! Ikifikia hatua wananchi wakaona mtu kuuawa au kutekwa ni kitu cha kawaida, kama anavyoona Rais wetu au Spika Tulia, tujue tumeingia kwenye laana!

Kama Rais Samia anaona hana uwezo wa kuyazuia haya, kwa ushauri wenye dhamira njema, asigombee Urais mwakani, awaachie wenye uwezo wa kuyadhibiti haya, la sivyo atasababisha watu wengi kupoteza maisha, na damu zao zitakuwa juu yake, tena ataacha historia mbaya kabisa vizazi na vizazi.
Hii ni stori ya kweli au imeletwa kubalance hali.ya hewa?
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.

Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.

"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
View attachment 3168040
Huyu ni Wa pili kutoka yule aliyepigwa risasi huko Iringa.

MUngu naona ameiacha hii Nchi, dhambi ni nyingi
 
Tibatiba, mwasuambwa , kipara kikukuu, faizBox mko gado toeni maoni yenu
 
Pole sana kwa familia, kijana mdogo sana amepoteza uhai kwa siasa chafu zinazoendelea(?)

Tusipende kufurahia vifo vya binadam wenzetu as hata sisi hatma yetu hatuijui.
 
Pole sana kwa familia kijana mdogo sana amepoteza uhai kwa siasa chafu zinazoendelea(?)

Tusipende luurahia vifo vya binadam wenzetu as hata sisi hatma yetu hatuijui.
Cc Etwege, johnthebaptist,Kiparakipya The Bigshow,Faizafox, lucas, Tlaatlaa
 
Mungu alisaidie taifa,tufanye siasa safi kwa uwazi na haki ,huu sio utamaduni wetu kama taifa.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.

Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.

"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.

Haya mambo yataendelea kuwepo bila kama taifa kurudi na kuona chanzo cha haya ni nini...tumeachia siasa kua sehemu ya ajira,unafanya kazi lkn unajua kuna opposition nje na ndani ya chama anaitaka nafasi yangu,huko serikalini kwenye idara zao hawana amani..kuviziana, kuchongena, kurogana,kuuana.sembue iwe huku kwenye siasa,huku ndo kutakua na genocide kubwaw,tujitafakari kama Inchi
 
Ina maana we hujui chanzo!!?

Chanzo ni mkojani kugombea 2025!!

Kama jpm 2020,watamalizana Sana hasa team moja kwa nyingine!!
 
I dont know why lakini nikisikia hawa mbogamboga wamepata shida, naona sawa tu
 
Ina maana we hujui chanzo!!?

Chanzo ni mkojani kugombea 2025!!

Kama jpm 2020,watamalizana Sana hasa team moja kwa nyingine!!
Raisi ni mwepesi sana kwa vyombo vya usalama makini ambavyo viko united na ni wazalendo wa kweli...sio chawaz
 
Uwezo wao wakumshauri ni mkubwa mno..na ni nadra kubishana nao,wanaiona inchi kwa upeo mkubwa mno kuliko yeye...president ni mwanasiasa tu,wapo wataalam
Raisi ni mwepesi sana kwa vyombo vya usalama makini ambavyo viko united na ni wazalendo wa kweli...sio chawaz
 
Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
Ccm ndio wenye dola na ndio wauwaji wakwanza , wakisha waua upinzani dola na ccm hawaumiii kabisaa na kwakushirikiana wanapindisha maneno na haki tena ikiwezekana walio umizwa wanapewa na mashtaka juu sasa unataka haki za binadamu waseme nini hapo labda kuhusu vifo vya wana ccm waasisi wa mauaji?
 
N wenye mamlaka ya kukemea na kuchukua hatua wako kimya kabisa. Maisha ya watu yamekosa maana mbele ya watawala. Hivi ameshindwa kabisa mtu mmoja mwenye mamlaka kusimama na kusema haya mambo BASI? Hatuna kabisa huyo mtu kweli?.
Rais kimya,makamu wa rais kimya ,waziri mkuu kimya,waziri mkuu msaidizi kimya, waziri wa mambo ya ndani kimya, IGP kimya na sijasikia kauli ya yeyote kukemea hii hali hata kwa kujisahau tu, maana yake hawa wote wanajua kinacho endelea ndio maana wanaona ni hali ya kawaida.
 
Back
Top Bottom