Mbeya wanajikuta wajuaji mara wanajifanya Wana vipaji kushinda mikoa wote kama unafuatilia angalia nyuzi wameanza sijui timu yao ya taifa mara ooh nilijua wanajiona wakitaka ivyo ianze kugaiwa kanda ya pwani ije kaskazini ndo waje wao kwa lip kimkoa cha juzi ichoMawazo ya utengano hayajengi
Una mawazo mazuru sana mno ila sio mleta uzi etu kujitengaKanda ya ziwa nadhani ilipawa kujitenga kabisa..mji mkuu iwe mwanza pale.
Kanda ya ziwa inaipa utajiri mkubwa serikali ya ccm ila maendeleo yote wanajaza mifukoni mwao na dsm tu...hii sio sawa kabisa.
Chamsingi hapa ni kupambana nia kanda zetu tu..cvm imeshindwa jukumu lake at first.
Tuende na serikali ya majimbo la hizi kanda zione namna gani vipi.
Live long NyanzaNation.
#MaendeleoHayanaChama
kwanini mawazo haya ya kutengwa au kutoendelezwa kwa baadhi ya mikoa yanakuja leo? mnataka kusema kitu semeni tuwaskie msizunguke!Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
Ukweli labda tubaki kuwa na maendeleo na mfuko wa majimbo kujitenga sio safi kabisaPwani yote ikienda isipokuwa Mtwara inaweza kwenda Zanzibar kama walipenda!
Kabisa..serikali za majimbo ndio suluhisho la maendeya hii nchi.Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
Hakuna mgawanyo sawa wa rasilmali za hii nchi.Una mawazo mazuru sana mno ila sio mleta uzi etu kujitenga
Mbeya wanajikuta wajuaji mara wanajifanya Wana vipaji kushinda mikoa wote kama unafuatilia angalia nyuzi wameanza sijui timu yao ya taifa mara ooh nilijua wanajiona wakitaka ivyo ianze kugaiwa kanda ya pwani ije kaskazini ndo waje wao kwa lip kimkoa cha juzi icho
Kamji kadogo kwanza hako ka dar es salaam kila kitu hapo kwa kweli distribution ingefanywa kuanzia vyuo kila kanda kiwe na tawiKabisa..serikali za majimbo ndio suluhisho la maendeya hii nchi.
Kanda zote zitakua na miji mikubwa yenye huduma zote za kijamii..sio kila kitu dsm tu.
Mji wa dsm umeelemewa na population hadi haikaliki kila sehemu foleni..miundombinu imeelemewa.
Niwakati sasa tuwe na serikali za majimbo kila jimbo liwe na nguvu yake ya kujiyegemeza.
#MaendeleoHayanaChama