Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hii better iwe hivyo...hakuna mgawanyo sawa wa rasilmali za nchi hii..nashangaa sana kanda ya ziwa kuwa nyuma kimaendeleo wakati karibia 50% ya pato la hii nchi linatoka huko.Serikali ya majimbo iundwe ama vp?
Sawa hta sisi Tanga tulikuwa smart miaka ya 8o na maendeleo sema serikali haijakuwa favourite yetu tukaharibiwa mpaka viwanda tanga ya miaka 80 na leo ndo ile ile kaangalie hamna kipya tupo dar tumekimbia mjiLkn Mbeya ina watu smart sana, sina uhusiao wowote na huo Mkoa lkn najua ni watu smart wangeweza fika mbali!
Hapo dar hwa viongozi wana mabiashara yao kila kitu hapo waache Kama walivyo utaambiwa uchocheziKwa hali hii better iwe hivyo...hakuna mgawanyo sawa wa rasilmali za nchi hii..nashangaa sana kanda ya ziwa kuwa nyuma kimaendeleo wakati karibia 50% ya pato la hii nchi linatoka huko.
Yani serikali ya ccm inawaza kiwekeza dsm tu...nimeamini kwanini baadhi ya nchi hua maeneo yanajitenga..kisa huu upuuzi wa unyonyaji.
#MaendeleoHayanaChama
Wale ni mda sana ndo maana wamefika pale natamani sana mkoa wety ungekuwa sehemu ya ZanzibarSijaongelea kujitenga, mbona Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na imewezekana tunaweza kufanya kwingine pia!
Hili lilishawahi kudokezwa kwenye KATIBA pendekezwa ya Jaji Warioba.Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
Yani mtu yuko katavi au kagera huko..eti aje hospital ya taifa muhimbili..kwanini kusiwepo hospitali ya taifa mikoa kama mwanza..mbeya arusha.Kamji kadogo kwanza hako ka dar es salaam kila kitu hapo kwa kweli distribution ingefanywa kuanzia vyuo kila kanda kiwe na tawi
Dsm imezidiwa over population kwa sababu ya unequal distribution of resources katika nchi hii.Sawa hta sisi Tanga tulikuwa smart miaka ya 8o na maendeleo sema serikali haijakuwa favourite yetu tukaharibiwa mpaka viwanda tanga ya miaka 80 na leo ndo ile ile kaangalie hamna kipya tupo dar tumekimbia mji
Mji nimekaa sana ila sina furaha yeyote ile nimekuja tu tangu nasoma mpka kupata kazi ila haunipi mzuka siupendi kabisa mafoleni kila kona balaa tupu wezi kibao mty unakuwa na wasiwasi na mali zakoDsm imezidiwa over population kwa sababu ya unequal distribution of resources katika nchi hii.
#MaendeleoHayanaChama
ni kweli kabisa ulichoongea,Kanda ya ziwa nadhani ilipawa kujitenga kabisa..mji mkuu iwe mwanza pale.
Kanda ya ziwa inaipa utajiri mkubwa serikali ya ccm ila maendeleo yote wanajaza mifukoni mwao na dsm tu...hii sio sawa kabisa.
Chamsingi hapa ni kupambana nia kanda zetu tu..cvm imeshindwa jukumu lake at first.
Tuende na serikali ya majimbo la hizi kanda zione namna gani vipi.
Live long NyanzaNation.
#MaendeleoHayanaChama
Atakuja tu usijali, nchi hii ni kubwa kwani keshatembelea kote? wakuu wa Mikoa na Wilaya ni wawakilishi wa mheshimiwa Rais. Rais anaipenda nchi equally na katiba yetu inasema hivyo. Sijaona upendeleo wowote kwa Mama, tunampenda tumuunge mkono nchi isongembeleNi muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar.
Watu wa Mbeya na Kanda ya Ziwa wana potential kubwa sana ambayo haitumiki na Mikoa yao hasa Mbeya ni kama imesahaulika, ni lini Raisi wa Tanzania aliwahi kufika Mbeya mara ya mwisho ?
Sera ya Majimbo ndiyo inaweza kuharakisha maendeleo hasa kwa maeneo yasiyopendwa na serikali ya Dar/DodomaNi muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar.
Watu wa Mbeya na Kanda ya Ziwa wana potential kubwa sana ambayo haitumiki na Mikoa yao hasa Mbeya ni kama imesahaulika, ni lini Raisi wa Tanzania aliwahi kufika Mbeya mara ya mwisho ?
Kweli unataka raisi apoteze mda kuja kuangalia maparachichi na wachuna ngozi? Kuwa serious kidogoIt is true inachukuliwa kodi tu lakini hata lami mpya hakuna. Nyanda za juu kusini ni mikoa isiyofikirika hata kidogo. Mbeya inakuwa lakini hakuna raisi anayeiwazia, ziara ni Arusha mwanza basi na Dar. Mbeya hatutakiwi hata kidogo, ni kama vile sio sehemu ya nchi. Jengo LA mkuu was mkoa linasuasua tangu Magu afariki.
Dar inainyonya sana mikoa mingine yaani kila kitu dar!Kwa hali hii better iwe hivyo...hakuna mgawanyo sawa wa rasilmali za nchi hii..nashangaa sana kanda ya ziwa kuwa nyuma kimaendeleo wakati karibia 50% ya pato la hii nchi linatoka huko.
Yani serikali ya ccm inawaza kiwekeza dsm tu...nimeamini kwanini baadhi ya nchi hua maeneo yanajitenga..kisa huu upuuzi wa unyonyaji.
#MaendeleoHayanaChama