Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Muandishi kwanza unatakiwa kutofautishs kanda ya ziwa na Mbeya.
Mkoa wa Mwanza pekee ni mkubwa kwa hadhi kuliko Mbeya ila haujaomba 'kujitawala' kama Zenji.

Kanda ya Ziwa ina Mwanza, Geita, Simiyu, Mara, Shinyanga na Kagera (hii ni mikoa 5) unapojenga hoja kufanya mkoa mmoja uwe na hadhi kama mikoa 5, bila shaka inathibitisha namna gani huijui vya kutosha kanda ya Ziwa.

Ikitokea Mbeya imetembelewa mara kwa mara na Mkulu, nini kitaongezeka?
Ikitokea Mbeya imejitenga kwa kuwa na hadhi ya Rais wa Mbeya kama Zenji, itapata nini cha kuifanya ikue?

Mkoa unaweza kukua kwa kutegemea ridhaa ya Rais wa nchi au shughuli za wananchi kuzalisha kwa tija na ufanisi wa hali juu ili kukuza uchumi wa eneo?

Pengine ntakubaliana nawe kama RC alieopo sio mzuri kwa lobbying na anategemea mamlaka ya uteuzi ifanye kila kitu, basi Mbeya kama ilivyo mikoa mingine itasubiri sana.

Kuna shida kubwa toka enzi ya Mwl. JKN, ukuu wa mkoa na sekretariet ya mkoa inakuwa na watendaji wasio wazawa na ina faida ya kutokukuza ukanda, na ina hasara kwa kuwa na watu ambao wanafanya business as usual na wanaweza wasiwe creative na innovative kukuza uchumi wa eneo husika kwa msingi wa kutowajibika kwa wananchi moja kwa moja.
Wengi hujuiona wajubu wao ni kumpendezesha mkulu wa Magogoni/Chamwino.

Kwa kuwa hoja ya Mbeya kupewa hadhi kama ya Zenji ni kama haiwezekani kutokea, fikiria mbadala ya nini kifanyike ili uchumi wa Mbeya ukue, mzunguko wa fedha uwepo kwa watu kufanya biashara na kuwa na fedha za kumudu mahitaji yao.
Purchasing power matters bila kujali mtu yuko Mbeya au penginepo.

Nini kifanyike ili watu wengi wa Mbeya wakuze uchumi wao na hata imvutie Mkulu mara kwa mara awe anatia mguu kuzindua miradi ya uwekezaji Mbeya, hilo kaweza kufanyika haraka pasi kutaka kuipa Mbeya hadhi ya Zenjibar.

Jpili njema.

FAM
Naunga mkono hoja pia kuna utitiri katiks ngazi za maamuzi. kwahiyo mkuu wa mkoa akiwa weak basi ndio kiini hasa cha mdodoro wa uchumi katika mkoa.Mathalani wilaya ya Rungwe kilimo cha parachichi kilishamiri wanasaiasa na ofisi ya mkuu wa wilaya wakaingilia hiyo biashara matokeo yake imekuwa kama kilimo cha korosho Mtwara.Tusimlaumu Rais kwenye hili ni ubovu wa viongozi ngazi ya mkoa.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Lakini inakuwaje hizi kauli hazikutolewa na kukemewa kipindi kile Kayafa Magufuli akifanya upendeleo wa wazi kabisa kwa Kanda ya Ziwa huku akizisahau Kanda nyingine mfano Kusini na Nyanda za Juu Kusini?

Kwani kwa sasa ukiwaeleza Zanzibar muungano sio mzuri tuuvunje watakubali?
 
Kanda ya ziwa nadhani ilipawa kujitenga kabisa..mji mkuu iwe mwanza pale.

Kanda ya ziwa inaipa utajiri mkubwa serikali ya ccm ila maendeleo yote wanajaza mifukoni mwao na dsm tu...hii sio sawa kabisa.

Chamsingi hapa ni kupambana nia kanda zetu tu..cvm imeshindwa jukumu lake at first.

Tuende na serikali ya majimbo la hizi kanda zione namna gani vipi.

Live long NyanzaNation.

#MaendeleoHayanaChama
Mngefanya hivyo kipindi cha Magufuli, sasa hivi mmechelewa
 
Lkn Mbeya ina watu smart, sina uhusiano wowote na huo Mkoa lkn najua ni watu smart wangeweza fika mbali, ni watu proud na wanapenda kwao hivyo wasingeiba na kuwekeza kwenye anasa!
Wewe kwenu ni kanda ya ziwa?
 
Mimi mashari utawala na katiba vi undwe upya ki inchi iwe na mipaka ya kimajimbo na kukiyegemea mapato yansheria ndogondogo kisha kuwe na serikali shirikisho .

Na serikali ya shirikisho imiliki jeshi la wananchi, Bunge,tiss, na wizara zitakazo simamia idara mbalimbali majimboni .

Hii itaondoa ufisadi na unyonyaji outomatically .

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Muandishi kwanza unatakiwa kutofautishs kanda ya ziwa na Mbeya.
Mkoa wa Mwanza pekee ni mkubwa kwa hadhi kuliko Mbeya ila haujaomba 'kujitawala' kama Zenji.

Kanda ya Ziwa ina Mwanza, Geita, Simiyu, Mara, Shinyanga na Kagera (hii ni mikoa 5) unapojenga hoja kufanya mkoa mmoja uwe na hadhi kama mikoa 5, bila shaka inathibitisha namna gani huijui vya kutosha kanda ya Ziwa.

Ikitokea Mbeya imetembelewa mara kwa mara na Mkulu, nini kitaongezeka?
Ikitokea Mbeya imejitenga kwa kuwa na hadhi ya Rais wa Mbeya kama Zenji, itapata nini cha kuifanya ikue?

Mkoa unaweza kukua kwa kutegemea ridhaa ya Rais wa nchi au shughuli za wananchi kuzalisha kwa tija na ufanisi wa hali juu ili kukuza uchumi wa eneo?

Pengine ntakubaliana nawe kama RC alieopo sio mzuri kwa lobbying na anategemea mamlaka ya uteuzi ifanye kila kitu, basi Mbeya kama ilivyo mikoa mingine itasubiri sana.

Kuna shida kubwa toka enzi ya Mwl. JKN, ukuu wa mkoa na sekretariet ya mkoa inakuwa na watendaji wasio wazawa na ina faida ya kutokukuza ukanda, na ina hasara kwa kuwa na watu ambao wanafanya business as usual na wanaweza wasiwe creative na innovative kukuza uchumi wa eneo husika kwa msingi wa kutowajibika kwa wananchi moja kwa moja.
Wengi hujuiona wajubu wao ni kumpendezesha mkulu wa Magogoni/Chamwino.

Kwa kuwa hoja ya Mbeya kupewa hadhi kama ya Zenji ni kama haiwezekani kutokea, fikiria mbadala ya nini kifanyike ili uchumi wa Mbeya ukue, mzunguko wa fedha uwepo kwa watu kufanya biashara na kuwa na fedha za kumudu mahitaji yao.
Purchasing power matters bila kujali mtu yuko Mbeya au penginepo.

Nini kifanyike ili watu wengi wa Mbeya wakuze uchumi wao na hata imvutie Mkulu mara kwa mara awe anatia mguu kuzindua miradi ya uwekezaji Mbeya, hilo kaweza kufanyika haraka pasi kutaka kuipa Mbeya hadhi ya Zenjibar.

Jpili njema.

FAM
Umeandika Insha kubwa isiyo na maana. Inaonekana hata mantiki ya kinachojadiliwa huelewi.
 
Kwani rasimu ya katiba ya mzee Warioba inasemaje kuhusu hili suala?
 
Kwamba mada ingekuja enzi za Magufuli, ingeletwa enzi hizo watu pia wangehoji why hamkuileta wakati wa Jakaya n.k. Tuwe wavumilivu kwenye mada zinazoletwa hata kama ni kwa awamu unayoipenda.
Kwa kweli mgawanyo wa rasilimali za nchi hauko sawa, mapato ya mikoa husika yangezingatiwa ili kuboresha mikoa husika siyo tunatajiwa dsm imechangia kiasi fulani pato la nchi kumbe rasilimali hizo zimetoka mikoani.
 
Hukutala Darajs la Busisi lijengwe
Nilitaja Busisi, makao makuu Dodoma , sgr vyote visitishwe. Bwawa la nyerere tu ndiyo lijengwe. Nadhani unaona jinsi ushauri wangu unavyozingawtiwa
 
Dodoma inajengwa, Busisi kunaendelea vizuri na SGR iko moto. Una jengine?
Acha uwongo. Unanijua mm ni nani? Wewe unasikiliza hizo ngonjera tunazowapa kwenye vyombo vya habari na unaingia kingi?
 
Ni muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar.

Watu wa Mbeya na Kanda ya Ziwa wana potential kubwa sana ambayo haitumiki na Mikoa yao hasa Mbeya ni kama imesahaulika, ni lini Raisi wa Tanzania aliwahi kufika Mbeya mara ya mwisho ?
Kanda ya Ziwa na umaskini wenu hata mkitoka sasa ni sawa tuu.
 
Kanda ya ziwa nadhani ilipawa kujitenga kabisa..mji mkuu iwe mwanza pale.

Kanda ya ziwa inaipa utajiri mkubwa serikali ya ccm ila maendeleo yote wanajaza mifukoni mwao na dsm tu...hii sio sawa kabisa.

Chamsingi hapa ni kupambana nia kanda zetu tu..cvm imeshindwa jukumu lake at first.

Tuende na serikali ya majimbo la hizi kanda zione namna gani vipi.

Live long NyanzaNation.

#MaendeleoHayanaChama
Nendeni kwenye mitandao inayofikiwa na wengi au kwenye vyombo vya habari mkaongee haya muone moto
 
Acha uwongo. Unanijua mm ni nani? Wewe unasikiliza hizo ngonjera tunazowapa kwenye vyombo vya habari na unaingia kingi?

Hahaha Wabongo bhana, eti unanijua mi nani? Kwa hiyo tukishajua ?
 
Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
Kanda ya ziwa ina nini mpaka inyonywe. Acheni ushamba. Ukiacha jiji la Mwanza ni mkoa gani wa kanda ya ziwa ambao uko hata kumi bora kimapato. Mikoa ya kanda ya ziwa ni maskini zaidi kuliko mikoa mingine fuatilie data TRA. Kwasababu ya ushamba wa kisukuma ambao unawatesa ni kuwa wakisema kanda ya ziwa wanamaanisha jiji la Mwanza tena siyo mkoa wa Mwanza maana km ni Mkoa wilaya zake bado ni maskini zaidi. Wilaya za Mwanza nje ya eneo la jiji ni Bukwimba, Misungwi, Sengerema, Magu, Ukerewe niambie zina nini? Hakuna hata wilaya moja makao yake makuu yamefikia hata hadhi ya halamashauri ya mji. Kagera ndio imekuwa ya Mwisho, Mara, Simiyu, Shinyanga hata Geita Kimapato viko chini sana kuliko mikoa mingine. Mtanyonywa nini maskini nyie?
 
Back
Top Bottom