Kanda ya ziwa ina nini mpaka inyonywe. Acheni ushamba. Ukiacha jiji la Mwanza ni mkoa gani wa kanda ya ziwa ambao uko hata kumi bora kimapato. Mikoa ya kanda ya ziwa ni maskini zaidi kuliko mikoa mingine fuatilie data TRA. Kwasababu ya ushamba wa kisukuma ambao unawatesa ni kuwa wakisema kanda ya ziwa wanamaanisha jiji la Mwanza tena siyo mkoa wa Mwanza maana km ni Mkoa wilaya zake bado ni maskini zaidi. Wilaya za Mwanza nje ya eneo la jiji ni Bukwimba, Misungwi, Sengerema, Magu, Ukerewe niambie zina nini? Hakuna hata wilaya moja makao yake makuu yamefikia hata hadhi ya halamashauri ya mji. Kagera ndio imekuwa ya Mwisho, Mara, Simiyu, Shinyanga hata Geita Kimapato viko chini sana kuliko mikoa mingine. Mtanyonywa nini maskini nyie?