Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Wewe ni bavichaAcha uwongo. Unanijua mm ni nani? Wewe unasikiliza hizo ngonjera tunazowapa kwenye vyombo vya habari na unaingia kingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni bavichaAcha uwongo. Unanijua mm ni nani? Wewe unasikiliza hizo ngonjera tunazowapa kwenye vyombo vya habari na unaingia kingi?
Ndio wa kuongelea huo? nitafute upige hata Bia BingwaKama sio uwanja ni kimba lako au?
Muanzishe nchi ya wanyakyusa siyo?Naunga mkono hoja. Ikibidi tujitenge kabisa na hii nchi ya waswahili
Kanda ya ziwa ina nini mpaka inyonywe. Acheni ushamba. Ukiacha jiji la Mwanza ni mkoa gani wa kanda ya ziwa ambao uko hata kumi bora kimapato. Mikoa ya kanda ya ziwa ni maskini zaidi kuliko mikoa mingine fuatilie data TRA. Kwasababu ya ushamba wa kisukuma ambao unawatesa ni kuwa wakisema kanda ya ziwa wanamaanisha jiji la Mwanza tena siyo mkoa wa Mwanza maana km ni Mkoa wilaya zake bado ni maskini zaidi. Wilaya za Mwanza nje ya eneo la jiji ni Bukwimba, Misungwi, Sengerema, Magu, Ukerewe niambie zina nini? Hakuna hata wilaya moja makao yake makuu yamefikia hata hadhi ya halamashauri ya mji. Kagera ndio imekuwa ya Mwisho, Mara, Simiyu, Shinyanga hata Geita Kimapato viko chini sana kuliko mikoa mingine. Mtanyonywa nini maskini nyie?
Suala la kulipa wafanyakazi..sidhani kama litakuwa tatizo rasilmali zipo za kutosha.Mnajua lkn mnachoongea? Mikoa ambayo haofikishi hata 2% ya mchango wa kodi katika Taifa ndjo ijitenge? Kwani wafanyakazi wanaotoa huduma katika hiyo mikoa mnalipa ninyi?
Nilijua utataja Kahama, nitajie na nyingine yenye mapato makubwa. Mmeanza mambo haya ya hovyo baada ya Magu kuwa Rais. Watanzania wanajua mwendazake akiwaharibu sana akili zenu na mlivyo washamba mkamwamini.Weka na taja basi pia na Wilaya na Halmashauri za Mikoa mingine iliyotajiri kwa maana umetaja Kanda ya Ziwa na kusema ni masikini wa kutupwa weka tulinganishe usisahahu Kahama (ni KZ pia) ni moja kati ya Wilaya inayoongoza kwa mapato Tanzania na imezidi Mikoa mingi sana Tanzania!
Ukutaka kujua wilaya yenye mapato makubwa ushahidi wa kwanza itakuwa na halmashauri zaidi ya moja. kwa hyo kanda yenu nu Kahama, Tarime na Bunda tu. Tena 2 ziko Mara ambao hawana sifa za kishamba km wasukuma. Hata wilaya za mkoa Kilimanjaro bado zina mapato madogo hakuna hata wilaya moja ina halamashauri 2 lakini ukija kwenye sifa za kijinga watakuambia Kilimanjaro tumeendelea sana. Nchi hii sasa hivi kuna makabila mawili kwenye mitandao sijui wamelogwa na nani. Ni sifa za uwongo na za kijinga.Weka na taja basi pia na Wilaya na Halmashauri za Mikoa mingine iliyotajiri kwa maana umetaja Kanda ya Ziwa na kusema ni masikini wa kutupwa weka tulinganishe usisahahu Kahama (ni KZ pia) ni moja kati ya Wilaya inayoongoza kwa mapato Tanzania na imezidi Mikoa mingi sana Tanzania!
Nilijua utataja Kahama, nitajie na nyingine yenye mapato makubwa. Mmeanza mambo haya ya hovyo baada ya Magu kuwa Rais. Watanzania wanajua mwendazake akiwaharibu sana akili zenu na mlivyo washamba mkamwamini.
Ukutaka kujua wilaya yenye mapato makubwa ushahidi wa kwanza itakuwa na halmashauri zaidi ya moja. kwa hyo kanda yenu nu Kahama, Tarime na Bunda tu. Tena 2 ziko Mara ambao hawana sifa za kishamba km wasukuma. Hata wilaya za mkoa Kilimanjaro bado zina mapato madogo hakuna hata wilaya moja ina halamashauri 2 lakini ukija kwenye sifa za kijinga watakuambia Kilimanjaro tumeendelea sana. Nchi hii sasa hivi kuna makabila mawili kwenye mitandao sijui wamelogwa na nani. Ni sifa za uwongo na za kijinga.
Ndio maana wameondoa tozo kwenye parachichi ili muweze kujiletea maendeleoKwa hiyo kodi ya maparachichi ndo inatakiwa na serikali?
Tuanzishe serikali za majimbo kila sehemu ifaidi rasilimali zake, huku kanda ya ziwa tuna kila kitu lakini cha kushangaza ata maji tu wananchi hawapati na ziwa lipo mlangoni, pia miundombinu ndio ovyo kabisa, kila kitu kinapelekwa mikoa ya pwani na dar. TUNAITAJI SERIKALI ZA MAJIMBO KILA KANDA IFAIDI RASILIMALI ZAKE.Kanda ya ziwa nadhani ilipawa kujitenga kabisa..mji mkuu iwe mwanza pale.
Kanda ya ziwa inaipa utajiri mkubwa serikali ya ccm ila maendeleo yote wanajaza mifukoni mwao na dsm tu...hii sio sawa kabisa.
Chamsingi hapa ni kupambana nia kanda zetu tu..cvm imeshindwa jukumu lake at first.
Tuende na serikali ya majimbo la hizi kanda zione namna gani vipi.
Live long NyanzaNation.
#MaendeleoHayanaChama
Atakuja kwa vile kuna uchaguzi mbele kama sio hivyo sidhaniNi muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar.
Watu wa Mbeya na Kanda ya Ziwa wana potential kubwa sana ambayo haitumiki na Mikoa yao hasa Mbeya ni kama imesahaulika, ni lini Raisi wa Tanzania aliwahi kufika Mbeya mara ya mwisho ?
Hii nchi ni moja, alituasa baba wa Taifa kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Wizara ya Elimu ni moja, wizara ya afya ni moja rasilimali zikibaki ilipo wizara itahudumiaje nchi nzima? Hayo mawazo yenu hayawezekani huo ni uhaini. Hakuna eneo ktk uso wa hii dunia haina rasilimali labda tu bado hatujaweza kuigundua au kuitumia. Tusimkosoe Mungu. Usije kuona penye dhahabu ndiyo pa maana ni kwa leo tu na hata hivyo itakuja kuisha. Dodoma watu wanaisema vibaya kumbe chini imejaa Uranium. Kule ziwa Eyasi Karatu mkoani Arusha kuna Nickel nyingi sana. Kila sehemu nchi hii ina utajiri wake siyo kusema sehemu fulani inanyonywa hakuna kitu km hicho. Tujivunie kuwa na nchi moja imara siyo kuzungumzia kuigawa sijui ktk nini.Mimi siko huko unakodhania wewe, ningependelea rasilimali zisaidie eneo ambalo zinapatikana, kama ni Tanzanite isaidie watu wa huko iliko na siyo kuchukuwa fedha yote kupeleka sehemu moja na kuifuja!
Una hakika huyo nyerere alikuwa sio mkabila na mdini fuatilia huyo alikuwa mdini sana ndo kaharibu balance imeanza kwa magufuli ndo alikuwa na hakk sawa ila sio nyerer na wengineHii nchi ni moja, alituasa baba wa Taifa kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Wizara ya Elimu ni moja, wizara ya afya ni moja rasilimali zikibaki ilipo wizara itahudumiaje nchi nzima? Hayo mawazo yenu hayawezekani huo ni uhaini. Hakuna eneo ktk uso wa hii dunia haina rasilimali labda tu bado hatujaweza kuigundua au kuitumia. Tusimkosoe Mungu. Usije kuona penye dhahabu ndiyo pa maana ni kwa leo tu na hata hivyo itakuja kuisha. Dodoma watu wanaisema vibaya kumbe chini imejaa Uranium. Kule ziwa Eyasi Karatu mkoani Arusha kuna Nickel nyingi sana. Kila sehemu nchi hii ina utajiri wake siyo kusema sehemu fulani inanyonywa hakuna kitu km hicho. Tujivunie kuwa na nchi moja imara siyo kuzungumzia kuigawa sijui ktk nini.
🤣🤣Duh... Mdogo mdogo mnaanza kumega nchi.. kama vipi kila mkoa uwe nchi tu Ili mridhike.
Hii nchi ni moja, alituasa baba wa Taifa kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Wizara ya Elimu ni moja, wizara ya afya ni moja rasilimali zikibaki ilipo wizara itahudumiaje nchi nzima? Hayo mawazo yenu hayawezekani huo ni uhaini. Hakuna eneo ktk uso wa hii dunia haina rasilimali labda tu bado hatujaweza kuigundua au kuitumia. Tusimkosoe Mungu. Usije kuona penye dhahabu ndiyo pa maana ni kwa leo tu na hata hivyo itakuja kuisha. Dodoma watu wanaisema vibaya kumbe chini imejaa Uranium. Kule ziwa Eyasi Karatu mkoani Arusha kuna Nickel nyingi sana. Kila sehemu nchi hii ina utajiri wake siyo kusema sehemu fulani inanyonywa hakuna kitu km hicho. Tujivunie kuwa na nchi moja imara siyo kuzungumzia kuigawa sijui ktk nini.
Kila kitu kinakimbilia Dar na watu wanakimbilia Dar kwa kufuata huduma bora kjnachofuata ni kuiangaisha serikali kuweka miundombinu bora.Ukiangalia kwa makini tatizo walilitengeneza wenyewe.Yani mtu yuko katavi au kagera huko..eti aje hospital ya taifa muhimbili..kwanini kusiwepo hospitali ya taifa mikoa kama mwanza..mbeya arusha.
Y dsm only...hii sio sawa.
Vyuo vikuu vimejaa dsm tu...hii sio sawa.
Miundombinu mizuri ni dsm tu..hii sio sawa kabisa.
Kwengine hakuna watu ama..better kujitafutia serikali za majimbo..kila ukanda ufaidike na rasilmali zake.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Ingawa mm ni ccm lakini kwa hili tupate katiba mpya tupate serikali za majimbo tu. KANDA YA ZIWA TUNANYONYWA NA HILI LI NCHI.Mnaanza kuielewa mdogo mdogo Chadema na Sera yake ya Majimbo.
sema tungekua tunachagua wakuu wa mikoa na wilaya, ili kila watu wachague mtu wao wa kuwaongoza!Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]