MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Yaani sikuamini TRA kwa mwaka Katavi wanakusanya bilioni 6 na Kilimanjaro bilioni 230 halafu unasema yote ni mikoa ta taifa hili!! Hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
junk statement..[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kanda ya Ziwa na umaskini wenu hata mkitoka sasa ni sawa tuu.
huyu jamaa huwa anashangazaga sana...!!Huo umaskini wa watu wa kanda wa ziwa umeletwa na nan kama sio serikali yenu ya kijinga, watu wakanda ya ziwa wamekosa nini kila kitu wanacho rasilimali zao zinaenda kutengeneza sehemu nyingine, basi waachieni rasilimali zao tuone kama watakuwa masikini, chuki zako dhidi ya kanda ya ziwa zitaisha lini au ulishawahi kupigwa pumbu na ngosha akakuachia maumivu.
Hili nalo neno.Yani mtu yuko katavi au kagera huko..eti aje hospital ya taifa muhimbili..kwanini kusiwepo hospitali ya taifa mikoa kama mwanza..mbeya arusha.
Y dsm only...hii sio sawa.
Vyuo vikuu vimejaa dsm tu...hii sio sawa.
Miundombinu mizuri ni dsm tu..hii sio sawa kabisa.
Kwengine hakuna watu ama..better kujitafutia serikali za majimbo..kila ukanda ufaidike na rasilmali zake.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Kwa hiyo watengwe iwe nchi yao?Hivi si ni Mbeya walipiga mawe msafara wa rais?!
Alibonyezwa kizenji.huyu jamaa huwa anashangazaga sana...!!
mwenye siri atueleze huyu jamaa kuna kitu gani kafanyiwa Mwanza, maana akiskia tu Mwanza roho huwa inampaa sana
naanza kumtilia shaka sasa juu ya the rock city maana sio bule
Hapana hawaitaji kutengwaKwa hiyo watengwe iwe nchi yao?
Tanzania ingepiga hatua sana.Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
Wasukuma mna vituko[emoji23][emoji23]Kanda ya ziwa nadhani ilipawa kujitenga kabisa..mji mkuu iwe mwanza pale.
Kanda ya ziwa inaipa utajiri mkubwa serikali ya ccm ila maendeleo yote wanajaza mifukoni mwao na dsm tu...hii sio sawa kabisa.
Chamsingi hapa ni kupambana nia kanda zetu tu..cvm imeshindwa jukumu lake at first.
Tuende na serikali ya majimbo la hizi kanda zione namna gani vipi.
Live long NyanzaNation.
#MaendeleoHayanaChama
Jifunzeni kujiletea maendeleo bila kuitegemea serikali kama watu wa Kilimanjaro ila sasa someni haswa acheni biashara za kuswagana na ng'ombe kutwa kuchaInakoelekea bora kila kanda iwe Nchi huru.Haiwezekani kanda kama ya ziwa inachangia pato la taifa kubwa sana lakini kanda hiyo maendeleo yake ni kama enzi za ujima .Viongozi wanatapanya pesa wanavyojisikia.Migodi tu kama GGM,NorthMara.Buzwagi.Williamson diamond ingetosha kuibadilisha kimaendeleo hiyo kanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu huko kumejengwa kwa kutumia fursa za Mikoa mingine hivyo kuwa na base..Yaani sikuamini TRA kwa mwaka Katavi wanakusanya bilioni 6 na Kilimanjaro bilioni 230 halafu unasema yote ni mikoa ta taifa hili!! Hapana
Kwanza mnachelewa kutoka..The great lake zone, nchi hii kuna siku tutaidai nchi yetu ya asili
Ngoja kwanza kunaKwanza mnachelewa kutoka..
Huko Kwa wagonjwa wa kansa nani anashida Nako?
Hamna ardhi ya kutosha wala rasilimali za maana zaidi ya dhahabu na dagaa..
Utalinganisha labda na Kanda ya Kati kwingine hakuna cha kuwazidi.
Ukiongelea madini na migodi mikubwa yote ipo kwetu, tuna ziwa letu linatosha kabisa kutusambazia mikoa yetu yote maji ya uhakika . Kupitia ziwa tungekuja na mapinduzi makubwa ya kilimo kikubwa cha umwagiliaji kupitia ziwa letu. Tuna maeneo makubwa, tuna watu wengi wenye asili moja hivyo mambo yetu tungepanga kwa kuelewana Zaidi. Migodi tu kwanza inatosha kuendesha our great lake zoneKwanza mnachelewa kutoka..
Huko Kwa wagonjwa wa kansa nani anashida Nako?
Hamna ardhi ya kutosha wala rasilimali za maana zaidi ya dhahabu na dagaa..
Utalinganisha labda na Kanda ya Kati kwingine hakuna cha kuwazidi.