permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Acheni kupiga domo, mna spika anayeongoza mhimili, hivyo sababu za kulalamika sizioni.It is true inachukuliwa kodi tu lakini hata lami mpya hakuna. Nyanda za juu kusini ni mikoa isiyofikirika hata kidogo. Mbeya inakuwa lakini hakuna raisi anayeiwazia, ziara ni Arusha mwanza basi na Dar. Mbeya hatutakiwi hata kidogo, ni kama vile sio sehemu ya nchi. Jengo LA mkuu was mkoa linasuasua tangu Magu afariki.