The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ndio maana tunasema msitutaje take tuacheni , upuuzi wenu msituhusishe hatutaki shobo zenu.Kwani mbeya na nyanda za juu kusini kwa ujumla nazo ziko Tanzania?! Hivi hata Rais Samia anafahamu Kuna mbeya kweli nchi hii?! Wakati Kanda ya ziwa na Zanzibar zimeshatoa Marais wawili wawili kuchangia uongozi wa nchi ajabu nyanda za juu kusini haijawahi kutoa hata waziri mkuu tu miaka 60 ya uhuru.
Wakati TFF inaleta mechi za kimataifa za timu ya taifa kuchezea MWANZA kama vile Taifa stars vs Senegal, wakati huo huo angalau simba na Yanga hawajawahi hata kufikiria kupeleka mechi zao za kimataifa Mbeya kama vile Yanga vs Pyramid pale Mwanza.