Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Ukweli labda tubaki kuwa na maendeleo na mfuko wa majimbo kujitenga sio safi kabisa

Sijaongelea kujitenga, mbona Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na imewezekana tunaweza kufanya kwingine pia!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Serikali ya majimbo iundwe ama vp?
Kwa hali hii better iwe hivyo...hakuna mgawanyo sawa wa rasilmali za nchi hii..nashangaa sana kanda ya ziwa kuwa nyuma kimaendeleo wakati karibia 50% ya pato la hii nchi linatoka huko.

Yani serikali ya ccm inawaza kiwekeza dsm tu...nimeamini kwanini baadhi ya nchi hua maeneo yanajitenga..kisa huu upuuzi wa unyonyaji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Lkn Mbeya ina watu smart sana, sina uhusiao wowote na huo Mkoa lkn najua ni watu smart wangeweza fika mbali!
Sawa hta sisi Tanga tulikuwa smart miaka ya 8o na maendeleo sema serikali haijakuwa favourite yetu tukaharibiwa mpaka viwanda tanga ya miaka 80 na leo ndo ile ile kaangalie hamna kipya tupo dar tumekimbia mji
 
Kwa hali hii better iwe hivyo...hakuna mgawanyo sawa wa rasilmali za nchi hii..nashangaa sana kanda ya ziwa kuwa nyuma kimaendeleo wakati karibia 50% ya pato la hii nchi linatoka huko.

Yani serikali ya ccm inawaza kiwekeza dsm tu...nimeamini kwanini baadhi ya nchi hua maeneo yanajitenga..kisa huu upuuzi wa unyonyaji.

#MaendeleoHayanaChama
Hapo dar hwa viongozi wana mabiashara yao kila kitu hapo waache Kama walivyo utaambiwa uchochezi
 
Sijaongelea kujitenga, mbona Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na imewezekana tunaweza kufanya kwingine pia!
Wale ni mda sana ndo maana wamefika pale natamani sana mkoa wety ungekuwa sehemu ya Zanzibar
 
Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
Hili lilishawahi kudokezwa kwenye KATIBA pendekezwa ya Jaji Warioba.

Hili liweze kutimia hilo wazo ni lazima tupate KATIBA MPYA itakayotekeleza hayo.
 
Kamji kadogo kwanza hako ka dar es salaam kila kitu hapo kwa kweli distribution ingefanywa kuanzia vyuo kila kanda kiwe na tawi
Yani mtu yuko katavi au kagera huko..eti aje hospital ya taifa muhimbili..kwanini kusiwepo hospitali ya taifa mikoa kama mwanza..mbeya arusha.

Y dsm only...hii sio sawa.

Vyuo vikuu vimejaa dsm tu...hii sio sawa.

Miundombinu mizuri ni dsm tu..hii sio sawa kabisa.

Kwengine hakuna watu ama..better kujitafutia serikali za majimbo..kila ukanda ufaidike na rasilmali zake.

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
 
Sawa hta sisi Tanga tulikuwa smart miaka ya 8o na maendeleo sema serikali haijakuwa favourite yetu tukaharibiwa mpaka viwanda tanga ya miaka 80 na leo ndo ile ile kaangalie hamna kipya tupo dar tumekimbia mji
Dsm imezidiwa over population kwa sababu ya unequal distribution of resources katika nchi hii.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dsm imezidiwa over population kwa sababu ya unequal distribution of resources katika nchi hii.

#MaendeleoHayanaChama
Mji nimekaa sana ila sina furaha yeyote ile nimekuja tu tangu nasoma mpka kupata kazi ila haunipi mzuka siupendi kabisa mafoleni kila kona balaa tupu wezi kibao mty unakuwa na wasiwasi na mali zako
 
Inakoelekea bora kila kanda iwe Nchi huru.Haiwezekani kanda kama ya ziwa inachangia pato la taifa kubwa sana lakini kanda hiyo maendeleo yake ni kama enzi za ujima .Viongozi wanatapanya pesa wanavyojisikia.Migodi tu kama GGM,NorthMara.Buzwagi.Williamson diamond ingetosha kuibadilisha kimaendeleo hiyo kanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanda ya ziwa nadhani ilipawa kujitenga kabisa..mji mkuu iwe mwanza pale.

Kanda ya ziwa inaipa utajiri mkubwa serikali ya ccm ila maendeleo yote wanajaza mifukoni mwao na dsm tu...hii sio sawa kabisa.

Chamsingi hapa ni kupambana nia kanda zetu tu..cvm imeshindwa jukumu lake at first.

Tuende na serikali ya majimbo la hizi kanda zione namna gani vipi.

Live long NyanzaNation.

#MaendeleoHayanaChama
ni kweli kabisa ulichoongea,

yaani serikali hii ina mikoa yake, ipo mikoa mingi ambayo ina fursa nyingi sana za kiuchumi lakini chakuskitisha mapato yanayopatikana yanatumika kuijenga Dar & Dodoma

sasa hiyo si sahihi kabisa, serikali inapaswa kuliangalia hili kwa jicho la tatu

sasa hivi miradi yote ya maendeleo inafanywa Dar & Dodoma

Mikoani huku hakuna kinachoendelea
 
Ni muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar.

Watu wa Mbeya na Kanda ya Ziwa wana potential kubwa sana ambayo haitumiki na Mikoa yao hasa Mbeya ni kama imesahaulika, ni lini Raisi wa Tanzania aliwahi kufika Mbeya mara ya mwisho ?
Atakuja tu usijali, nchi hii ni kubwa kwani keshatembelea kote? wakuu wa Mikoa na Wilaya ni wawakilishi wa mheshimiwa Rais. Rais anaipenda nchi equally na katiba yetu inasema hivyo. Sijaona upendeleo wowote kwa Mama, tunampenda tumuunge mkono nchi isongembele
 
Ni muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar.

Watu wa Mbeya na Kanda ya Ziwa wana potential kubwa sana ambayo haitumiki na Mikoa yao hasa Mbeya ni kama imesahaulika, ni lini Raisi wa Tanzania aliwahi kufika Mbeya mara ya mwisho ?
Sera ya Majimbo ndiyo inaweza kuharakisha maendeleo hasa kwa maeneo yasiyopendwa na serikali ya Dar/Dodoma
 
Mbeya umeiweka ili usinekane mkabila, hakuna mkoa au kanda yoyote inajitosheleza kwa kila kitu,

Zanzibar pamoja na kuwa nchi, umeme wanapata kutoka Tanganyika,

Ni muhimu kibana serekali ktk mambo kama, ufisadi, kubana matumizi, mikataba mibovu ktk raslimali za nchi, kuendelea kutegemea mikopo umiza,

Kinachotakiwa kurudi kwa wananchi kwa ajili ya maendeleo, kinaishia kwa viongozi wanakula na kufimbiwa, na pia hata wakistaafu huwaachia watoto wao waliowaandaa mapema kimkakati.

Ndio maana majina ni yaleyale na yataendelea mpaka tutakapojitambua kama taifa tunataka nini,
 
It is true inachukuliwa kodi tu lakini hata lami mpya hakuna. Nyanda za juu kusini ni mikoa isiyofikirika hata kidogo. Mbeya inakuwa lakini hakuna raisi anayeiwazia, ziara ni Arusha mwanza basi na Dar. Mbeya hatutakiwi hata kidogo, ni kama vile sio sehemu ya nchi. Jengo LA mkuu was mkoa linasuasua tangu Magu afariki.
Kweli unataka raisi apoteze mda kuja kuangalia maparachichi na wachuna ngozi? Kuwa serious kidogo
 
Kwa hali hii better iwe hivyo...hakuna mgawanyo sawa wa rasilmali za nchi hii..nashangaa sana kanda ya ziwa kuwa nyuma kimaendeleo wakati karibia 50% ya pato la hii nchi linatoka huko.

Yani serikali ya ccm inawaza kiwekeza dsm tu...nimeamini kwanini baadhi ya nchi hua maeneo yanajitenga..kisa huu upuuzi wa unyonyaji.

#MaendeleoHayanaChama
Dar inainyonya sana mikoa mingine yaani kila kitu dar!

watanzania tumeshaanza kuchoka sasa
 
Back
Top Bottom