Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Ndio maana tunasema msitutaje take tuacheni , upuuzi wenu msituhusishe hatutaki shobo zenu.
 
DEVOLUTION au UGATUZI = MAJIMBO. Tanzania ni kubwa sana.
 
Bila kusahau 75% ya mizigo yote ya bandari ya dar inapita hapo jijini
 
Kunapo kosa usawa wa kimaendeleo haya lazima yatokee..hii nchi rasilmali zote zinaenda kujenga dsm tu..inadhani hiyo ni sawa?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app

..Magufuli alipoingia madarakani alizinyang'anya halmashauri zote mapato yao.

..tunatakiwa tuziwezeshe halmashauri zetu ili zisukume maendeleo ktk maeneo husika.

..utaratibu wa sasa ambapo kila eneo la nchi yetu linasubiri fadhila za kimaendeleo toka Ikulu ndio zinasababisha malalamiko kama ya mtoa mada.
 
Hizo shobo za mtoa mada kuitaja Mbeya kwenye upumbavu wa sukuma gang zimetoka wapi?
Mtoa mada ni mtu wa mbeya anaisemea mbeya yake Sasa wewe mtu wa makete namba moja kwa ukimwi inakuhusu nini hadi povu linakutoka?! Na wewe si uisemee makete yako serikali iongeze usambazaji wa ARVs, make condom zenyewe hata wasipoleta sababu huwa hamvai
 
Usitafute kuhalalisha kanda ya ziwa kwa kuiingiza Mbeya kama mkoa hizi ni Siasa chafu sisizo na Mashiko. Kumbuka Mbeya sio kanda ni Mkoa kanda itakuwa Southern Highlands (Iringa, Njombe, Ruvuma, Songwe na Rukwa). Sisi huku hatuna Agenda chafu za kutaka kujitenga kama nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…