Pre GE2025 Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao wanachekewa ndio maana wanakenua.
 
low IQ ni mzigo sana, yaani unafurahia kunichimbia kaburi la maandamano 🐒
 
Ndio maana njia za masna hutangazwa ili watu wengine wajiepushe na maeneo hayo.

Hawa waandamanaji na hasira zao wangeweza kufanya madhara.
Hv kwann hao wengine wajiepushe na hayo maeneo wakati mlishasema ni maandamano ya amani, kwahy watu wasiendelee na majukumu yao kisa maandamano yao.?
 
Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Rubbish, maandamano haya yametangazwa siku nyingi na njia zimetangazwa. Kwanini anasubiri kuvuruga maandamano ? Eti naye huyo ni PM wa kesho.....
 
Huo msafara ungesubiri kwani Chadema ilisha ruhusiwa...Viongozi wajifunze kustaraabika

Tunakuwa kama primitivu
Kwa hiyo hata ambulance Ina mgonjwa mahututi mtazuia na kuirushia Mawe au kuipisha?
 
Rubbish, maandamano haya yametangazwa siku nyingi na njia zimetangazwa. Kwanini anasubiri kuvuruga maandamano ? Eti naye huyo ni PM wa kesho.....
Anavurugaje maandamano wakati dakika tu msafara unakuwa umeshapita na maandamano yanaendelea
 
Naibu Waziri mkuu imekuwaje tena? Dah! Umeshawapa kiki hawa nyumbu...😪.. anyway hayo maandamano ni kama tu ya waalimu kwenye mei mosi. Angalau Naibu Waziri mkuu kayapa kiki kiaina.
 
Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Hivi mkishatoa kibali kwamba maandamano yafanyike kupitia barabara fulani, unaanzaje tena kuitaka barabara hiyo kwa matumizi mengine? Ni ujinga wa kutoheshimu utaratibu mliojiwekea..!!

Mfano mdogo tu, ukisema uwanja wa taifa utatumika kwa shughuri fulani, huwezi peleka shughuri nyingine hapo..!! unless otherwise ujione unaweza ukaharibu utaratibu bila kwahusisha wenye haki yako
 
Zomea wazomee wala hakuna neno (tena wamzomee Samia)...

Kuponda Mawe... ita-backfire (Maandamo ya Amani yatakuwa ya Fujo) - Huwezi kumtisha kwa Mawe Adui aliyeshika Bunduki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…