Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

...Sae...
 
View attachment 1722194
C Pwaa na Adili Mkwela a k a Chapakazi zama za kale za mawe. Mbeya ni Hip Hop city
Mbeya ulikuwaga mji wa wana hiphop. Ukifuatilia wanahiphop wenhine wazamani walisoma au kuishi Mbeya. Sijui hiphop ilipotelea wapi, eti saa hizi Chuga ndiyo mji wa hiphop! Watu wa Mbeya tunawachora tunasema hiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…