KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mbeya ni mji mzuri sana na watu wake wakarimu sana....huwaga naenda huko kikazi mara kwa mara na sijutii kuwa huko.....jumapili ni kama sikukuu....kila sehemu kwaya tu....
Mungu ibariki Mbeya.....
Mungu ibariki Mbeya.....