Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

1615385658044.png
 
Kila sehemu inaendelezwa na wenyeji. kiuhalisia Mbeya ina kila sababu ya kuwa jiji kubwa Tanzania. Changamoto kubwa ni kwamba wenyeji wengi (ambao ndo wana uwezo) wanapotelea jijini Dar. High time watu wabadilike wakawekeze nyumbani. Mbeya ITAKUWA JIJI KWELI KWELI.
 
Back
Top Bottom