Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Hapa Iyunga boys secondary
Ng'ambo nzovwe &itende
Screenshot_20210225-185336.jpg
 
I think hao watatu ni wa huko huko mbeya..mimi wa kaskazini peke yangu ndo mgeni.asante ❤️.mwambie Bujibuji nitakaribia sana.
Pole mrembo, I thought wewe ni wa Mbeya hasa baada ya kuona huo mshepu na Guu la Taifa ulilonalo 🙈

Kama hujawahi kufika huko niambie nikupeleke ukapigwe na baridi kidogo 😀
 
Moja kati ya miji inayosifiwa sana kwa uzuri na watu wake wawapo nje ya mkoa huo, ila kiuhalisia ni moja kati ya miji mibovu sana
Ukweli ulio wazi, bora hata structure ya mji wa sumbawanga japo mdogo kuliko mbeya
 
Pole mrembo, I thought wewe ni wa Mbeya hasa baada ya kuona huo mshepu na Guu la Taifa ulilonalo 🙈

Kama hujawahi kufika huko niambie nikupeleke ukapigwe na baridi kidogo 😀
Hapana mimi sio wa mbeya Chief ila muonekano umekaa kimbeya mbeya kabisa 90%..

Yes mbeya sijawahi kufika(nafikiri ni kwakuwa sijawahi kuwa na watu wakaribu huko).natamani kufika Lushoto,Mbeya,Iringa na Njombe tukijaaliwa uzima na afya
 
Haya wa mkoani dar
 
Back
Top Bottom