Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄 Atii?Naona mji bado bikira huo
Pole mrembo, I thought wewe ni wa Mbeya hasa baada ya kuona huo mshepu na Guu la Taifa ulilonalo 🙈I think hao watatu ni wa huko huko mbeya..mimi wa kaskazini peke yangu ndo mgeni.asante ❤️.mwambie Bujibuji nitakaribia sana.
Mwezi uliopita nilikuwa huko, ningejua ningekutafuta tukapate mchemsho City PubKaribuni jamani
Mtanikuta green City [emoji177]
Next time nikija huko nitakutafuta unioneshe viwanja 😜Mimi mtanikuta hukuuuuuuuu
Ukweli ulio wazi, bora hata structure ya mji wa sumbawanga japo mdogo kuliko mbeyaMoja kati ya miji inayosifiwa sana kwa uzuri na watu wake wawapo nje ya mkoa huo, ila kiuhalisia ni moja kati ya miji mibovu sana
Hapana mimi sio wa mbeya Chief ila muonekano umekaa kimbeya mbeya kabisa 90%..Pole mrembo, I thought wewe ni wa Mbeya hasa baada ya kuona huo mshepu na Guu la Taifa ulilonalo 🙈
Kama hujawahi kufika huko niambie nikupeleke ukapigwe na baridi kidogo 😀
Karibu sanaaaaNext time nikija huko nitakutafuta unioneshe viwanja 😜
Haya wa mkoani darHapana mimi sio wa mbeya Chief ila muonekano umekaa kimbeya mbeya kabisa 90%..
Yes mbeya sijawahi kufika(nafikiri ni kwakuwa sijawahi kuwa na watu wakaribu huko).natamani kufika Lushoto,Mbeya,Iringa na Njombe tukijaaliwa uzima na afya
Limenikumbusha utoto wangu,hili ua litanifanya nikate tiketi ya bombardier wallahView attachment 1722061
Ua kitenge. Mbeya imesheheni maua ya kila aina
Bahati mbaya haukujuaMwezi uliopita nilikuwa huko, ningejua ningekutafuta tukapate mchemsho City Pub
🥂Haya wa mkoani dar
Mambo
MapigilisiView attachment 1721988
Madyulisi
Inasikitisha sana,Corona imekatisha maisha yake.View attachment 1721995
R.I.P Cpwaa, Ilunga