Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Tuwekeeni picha basi za uzunguni ya Mbeya,yani hapa ni ile mitaa tulivu kama vile Oysterbay-Dar,Area D-Dom n.k...
 
Natengeneza special thread ya uwanja ngoma. Ile ni story kubwa tangu enzi za Jah People, Jogoo Basha, Snow White, Forest, VOLCANO etc
Wachezaji kama Masoksi, Castrol Patrick Mwakakonyole, Tiba Abdala, Lobo etc
Nakuja kivingine hommie
Wapi JOMBI?
 
Oh hapo sawa.
Sikumuelewa,nilidhani anamaanisha nguvu za kibondia wa mwili
IMG-20210216-WA0078.jpg

Mang'ang'a
 
Back
Top Bottom