Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Yaan vijana wa vyuo miaka hii Mapenzi yamekuwa too much compare na miaka ya nyuma... Pita jioni hadi usiku usiku mitaa kuanzia mlimani city kuja hizo hostel za mheshimiwa hadi ubungo mataa it's time for couple kila hatua couple...
 
Kuiga uzungu na kuiga maisha ya kitamthilia....
Upumbavu. Huyo binti ni muhanga matamthilia. Hasira za kipumbavu alizoziokota humo amezileta in real life. Tizama sasa kaua.

Huyo marehemu pia nae ni walewale..alidhania yupo kwenye love scene. Kafa.

Tuwatahadharishe vijana jamani. Kuiga kila upuuzi kwenye ma tv ni ujinga.
 
Inaumiza sana, wazazi wamezaa, wamelea imefikia mtoto kuwa huru kujisimamia anauawa, anaua na kuishia jela.
Wazazi na walezi tuendelee kufanya kazi ya kuongea na watoto wetu, tuwape elimu ya kujitambua haswa kwenye mambo ya mahusiano kwenye makuzi yao na zaidi kipindi wanapoanza kwenda vyuoni maana huko ndio wanakojiachia wakijiona wamekua huru na kuharibu.

Kuna mengi tunatakiwa kuwafundisha vijana wetu lakini hayafanyiki, tumeacha desturi, imani zetu nazo hatufuatilii, tupotupo tuu uzungu hatuwezi na asili hatuzitaki. Mungu utusaidie kwenye malezi
 
Mjue mwanamke wako. Mimi nikiona nimeharibu hua nauliza "Nirudi au nisirudi?" Utasikia "Rudi kesho"

Huyu bi dada anaruka mateke sijapata kujua ana flexibility ya hatari miguuni now itakua aibu kufa kwa kupigwa mateke.
 
21? Oh lord, he was too young to die kwaajili ya mapenzi, naangalia wazazi, walezi waliopambana kijana asome at the end of the day aje kuwainua then wanakuja kupata taarifa hizi. 😤







Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Back
Top Bottom