Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Eti "hisia za mapenzi" mtoa habari hayuko serious.

Kibao kimegeuka sasa, hebu toa neno kidogo.
Sina neno zaidi ya kumtakia mrembo kifungo chema chenye baraka tele...na jamaa alale salama mahali pema peponi maana mzigo wa dhambi umebakia kwa demu.

Tatizo braza Yale mapenzi ya kuanzia sekondari huwa hayatoboagi chuoni 🤣🤣🤣
 
Msimamo wangu ni kwamba mpk niione picha ya mdada ndo ntakoment
hako hapo, kabichi kabisa, kateketeke, soft soft, eegh kanafaa kwa matumizi mengine pia huko. Lockup
 

Attachments

  • IMG-20200719-WA0000.jpg
    IMG-20200719-WA0000.jpg
    50 KB · Views: 1
Kuiga uzungu na kuiga maisha ya kitamthilia....
Upumbavu. Huyo binti ni muhanga matamthilia. Hasira za kipumbavu alizoziokota humo amezileta in real life. Tizama sasa kaua.

Huyo marehemu pia nae ni walewale..alidhania yupo kwenye love scene. Kafa.

Tuwatahadharishe vijana jamani. Kuiga kila upuuzi kwenye ma tv ni ujinga.
Sure....kinachotokea ni kua zile experience na scene alizoziona zinakaaa kwenye subconscious mind...kwahiyo the same scene ilitokea in real life ata tenda Kama ilivotokea kwenye movie..akijua ni mawazo yake yamemtuma Ivo.....ndio maana tunasema movie nyingi sio nzuri kwa watu..hasa watoto ambao ubongo wao Haina kitu inakua ni rahisi kumeza effects za movie Kama zilivo
 
Back
Top Bottom