Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Yaan vijana wa vyuo miaka hii Mapenzi yamekuwa too much compare na miaka ya nyuma... Pita jioni hadi usiku usiku mitaa kuanzia mlimani city kuja hizo hostel za mheshimiwa hadi ubungo mataa it's time for couple kila hatua couple...
Wakati wengine wakati tupo chuo, tulikuwa tuna waogopa hata kuwasemesha... na waoga zaidi wakawa wanawapigw ka mkono.. ila vijana wa sasa hivi mafundi sana
 
Ona sasa
IMG_20200719_084554.jpg
 
Mjue mwanamke wako. Mimi nikiona nimeharibu hua nauliza "Nirudi au nisirudi?" Utasikia "Rudi kesho"

Huyu bi dada anaruka mateke sijapata kujua ana flexibility ya hatari miguuni now itakua aibu kufa kwa kupigwa mateke.
Ngoja nikutafute uniunganishe nae mkuu. Siku mjeda wangu akiliamsha dude niweze kumkabili🤣🤣🤣🤣
 
Wakati mwingine unaelewa kwanini tulikuwa tunaambiwa tusubiri. Siku hizi tunajifunza mapenzi kwenye mitandao na nyimbo za kina Diamond, binti inawezekana aliimbiwa nyimbo zooooote akaona dunia nzima yake. Mara anagundua kwenye list yeye ni 10. Miaka 19 busara bado sana.

RIP kijana na Binti na yeye Akapumzike Mahala Pema Jela; kesi za mauaji hapa Tanzania, hii itaanza kusikilizwa 2030
 
Back
Top Bottom