Pre GE2025 Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Religious fanatic,religious zealot. Kasheshe. Kijana amechanganyikiwa sana akili.
Kijana anasema,"Angalia kazii kubwa niluofanya Libya,kwa sababu hawamwabudu Mungu,nimemuondos Gaddafi.
Congo pia,nimeanzisha Ile vita ya wenyewe kwa wenyewe,kwa sababu hawamwabudu Mungu."
Kwa hiyo kijana alaiinua picha ya Rais Samia akasema,"Wewe unashindwa kuiongoza nchi,unaleta ushoga Tanzania,lazima niichome moto picha yako." Ameichoma moto Ile picha on camera.

Sasa kama Samia anashindwa kuiongoza nchi,hili jambo hilo sijalifikiria.
Isipokuwa nimeona,kwa mfano,wiki iliyopita ulikuwepo mkutano wa viongozi wa dini Shinyanga. Walikuwa wamefanya mkutano wa kupinga ushoga,na walikuwa wanasema kuna Biblia zimeletwa nchini ambazo zimechakachuliwa,zimeondolewa maneno mengine.
Kwa mfano utaona wameondoa
Luka 17:3
Jilindeni,kama ndugu yako akikosa,mwonye: akitubu,msamehe.
Luka 4:8
Yesu akamjibu;"Imesndikwa 'Mwabudu Mungu wako na kumumikia yeye tu'"
Luka 9: 55- 56
Lakini yeye akawageukia,akawakemea. Wakatoka,wakaenda Kijiji kingine.
Hii ilitokea baada ya wafuasi wake waliposema,'Turuhusu tuagize moto toka mbinguni tuvichome hivi vijiji.'
Luka 23:27
Kwa kawaida,kila sikukuu ya Pasaka ilimlazimu Pilato kuwafungulia mfungwa mmoja.
Marko7:16
9: 44
9:46
11:26
15:28
6:11
Matendo ya Mitume
15:34
24: 6-8

Mathayo
27:21
18:12
23:14
20:16;

Sasa walikuwa wanaongea kuhusu maneno haya na mengine yaliyoondolewa katika Biblia hii '" iliyoboreshwa" ambayo imeingia nchini.
Haya mambo ni very serious. Mtu inabidi ujiulize haya mambo wamefahamu lini,na wanatuambia baada ya muda gani?

Yule kijana ni religious fanatic,na wametokea watu wanauliza kuna sababu gani ya kumpeleka mahalamani au kumtesa?
 
Changamoto ya afya ya akili pia yuko nayo yule bwana
Fanya umfatilie kidogo tuuh page yake
 
Sasa huo ni ugunduzi? Mbona yeye mwenyewe alijitambulisha hivyo?
 
Kapa
 
Mm nimelewa au mbona nasoma bila kuelewa
 
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C9ACEdBN1v2/?igsh=MTFiMnV2ajFubXV3
 
Nikiwa kama msemaji mkuu wa mtandao wa jamii forums naomba huyo kijana achukuliwe hatua kali za kisheria ikiwemo kuchomwa na yeye kama alivyo choma picha 😳😳😳
 
Chalii yupo zake mtaani watanzania wameamua kumpa uhuru ndani ya saa chache walichangia hivyo vimilioni vitano

Kazi ni kwa uvccm wafanyekazi ya kumpoteza kama walivyotuahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…