Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mkuu wa mkoa anaonekana kwenye kituo cha mafuta huko China na picha husika ni ya mtu aliyevaa ushungi mweusi si mwekundu na ameshika bendera ya nchi nyingine.Hebu na sisi tuione hiyo picha
Wamejaa wazimu hao wanajikuta spesho sanaa!Hah!! Nyie watu mnapenda kuabudiwa.
Kukurupuka tu aonekane ameongea kitu ili teuzi zikifanyika asiachwe.Mbona picha inaonesha ni uchina, huyo mkuu wa mkoa amri hiyo ameitoa akiwa China? Na picha husika si ya mama Samia kwani picha yake amevaa ushungi mwekundu si mweusi kama ambavyo picha inaonesha.
Umewaza kipumbavu , kichawa. Ukikaa ukapata akili utagundua hamna kosa alilofanya. Rais si Mungu. Ni binadam wa kawaida kabisa. Amevunja sheria gani kwa kuchoma picha ambayo ni mali yake ameona ni takataka? Mi nimechoma sana hayo mapicha.Rais ni Mali ya Umma sio yake ,kuharibu Mali ya Umma ni kosa na vibaya kimaadili.
Makabila yenye nafasi ya kuifanya Tanzania ieendelee ni
Kanda ya ziwa
Nyanda za juu kusini
Kaskazini
Thubutu yake..!!Labda achome kimya kimya,achome hadharani aone...Hiyo picha ni mali yake ana haki ya kuifanya atakavyo
Bendera za Israel na Marekani kila mara zinachomwa moto ndio sembuse chura kiziwi.
Yupo mwamba mpaka nakala za Qurani kapiga moto ni mali yake huwezi kumpangia.
Really,kingine ni walking corpse tupuMakabila yenye nafasi ya kuifanya Tanzania ieendelee ni
Kanda ya ziwa
Nyanda za juu kusini
Kaskazini
Hiyo picha ameiprint kwa gharama zake so aweza kufanyia chochote atakavyo.Rais ni Mali ya Umma sio yake ,kuharibu Mali ya Umma ni kosa na vibaya kimaadili.
Kama sio Mungu ndio inatakiwa picha yake kuchanwa? Hilo ndio kosa sasaUmewaza kipumbavu , kichawa. Ukikaa ukapata akili utagundua hamna kosa alilofanya. Rais si Mungu. Ni binadam wa kawaida kabisa. Amevunja sheria gani kwa kuchoma picha ambayo ni mali yake ameona ni takataka? Mi nimechoma sana hayo mapicha.
Mi nachoma takataka hizo kila napozionaKama sio Mungu ndio inatakiwa picha yake kuchanwa? Hilo ndio kosa sasa
Huwezi choma hadharani,nenda kabandue kwenye minara ya taa harafun zichome tukuone.Mi nachoma takataka hizo kila napoziona