Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
waliomwingilia nao wamefungwa?
 
Hii ni sheria mbaya haifai. Kwanza ni ya kibaguzi kwa sababu kuu TATU:

1. Sheria hii haizungumzi kuhusu wasagaji, kitu ambacho kinaenda kinyume na madhumuni ya kuundwa kwake.

Ni mashoga pekee ndio wahanga wa sheria hii. Huu ni ubaguzi wa kionevu na ni kinyume na katiba.

Kama lengo ni kuzuia mapenzi ya jinsia moja, kwanini usagaji uwe halali halafu ushoga uwe haramu? HILI NALO MKALITIZAME.

2. Sheria hii haishughuliki na HETEROSEXUAL SODOMY. Wale wanaowafira wake zao wako salama na hakuna anayewagasi au kuwabughudhi.

Kama lengo kuu ni kuzuia MATENDO YA KINYUME NA ASILI, kwanini kumfira mwanamke ni halali, wakati kumfira mwanaume ni haramu?

JAPO SHERIA imesema vyote ni haramu lakini utekelezaji wa sheria unadhihirisha wazi kwamba hapa walengwa ni mashoga tu na sio mabasha au wanawake.

3. Sheria hii inatekelezwa kihuni kwa kumkamata kila mwenye mwonekano wa kike na kuanza kummulika na makamera. Na kwenye EXTREME CASES, hata kumpima kwa kumpiga vidole mkunduni. Huku ni KUTWEZA UTU.

Si kila shoga ana mwonekano wa kike. Kwahiyo kuwawinda na kuwa-target watu wenye mionekano ya kike si sawa. After all hakuna sheria inayozuia mtu mume kuwa na mwonekano wa kike kwa minajili ya bayolojia yake au mavazi yake. Huu ni UHUNI.
Endelea tu kuingizwa mitalimbo ila jua nyinyi hamna haki yeyote hapa duniani Wala kwa Mungu..hata ya kuskilizwa,..serikali inatumia busara Sana kwenu nynyi mafedhuli Waja laana mnaotia nuksi nchi yetu..nyinyi ni wakukatwa vichwa kwa mafungu uwanjani mtoweke kbsa.
 
Huko aendako huo mtalo utatumika sana,anaenda kuolewa kabisa
 
Wewe upo huko nchi za watu au umeishi huko. Naomba kuuliza, hivi ni wazungu wote wana sapoti LGTB au? Mana kwa akili za wabongo zilivyo, yaani kwa sasa ukionekana upo na mzungu hata kama mnapiga dili zenu halali, wao wanahisi mnaeneza ushoga.
Umkonto

Hapana sio Wazungu wote wanao support Ushoga😕wapo wanaoupinga Eg Republican tena wanaupinga kwa nguvu zote huu uchafu🤨🤨🤨

Foristance last year 2022 Congressional Republicans introduced a measure that would prohibit federal money from being used to teach children under 10 about LGBTQ issues

The Bill would prohibit the use of federal funds to teach children about “sexually-oriented material” as well as “any topic involving gender identity.. gender dysphoria, transgenderism, sexual orientation, or related subjects..The effects of such a law, if enacted, would be far-reaching since a range of institutions – schools, libraries, among them – receive public money

Hapo awali kabla hili jambo halijakomaa Europe ndio waliokuwa wanaunga mkono ushoga na sio US..tena nchi zilizokuwa zinazoupinga ni Ufaransa na Uingereza

Lakini kutokana na mfumo wa kuunga mkono uhuru binafsi ndio US wakaungana na David Camerun (Uingereza)kuunga mkono homosexuality..na hapa inasemekana Wamarekani waliokuwa wakiiupinga walikuwa wengi wakaanza kupungua kutokana na kauli ya Obama na takwimu zipo

Tatizo tumekua brain washed in so
Many things na kupenda kuiga kila
kinachofanywa na White people😌Et kwa sababu kuna mateja na hawawezi ishi bila kuacha utegemezi wao kwenye drugs then tutunge sheria za kuhalalisha?🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

Kuna watu wamezoea kitabia Cha uwizi na udokozi na hawawezi ishi bila kudokoa na kufanya uhalifu, Je turuhusu wafanye sababu ndivyo wanavyojisikia?🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

The rule of order hapa ni kuheshimu law of nature full stop..We have been mental slavery for ages its time to speak out our mind
 
Sheria ya kiislamu ndio ilikua suluhu la tatizo la ushoga.Adhabu yao ni KIFO kwa wote wawili;anayefanya na anayefanyiwa.
Sheria ya Tanzania pia inasema ni kifungo cha maisha au miaka 30 kwa wote wawili (Mliwa na Mliwaji)

Shida ni kuwa bado kuna loophole ya WALAJI kuchomoka. Ilitakiwa Hawa wakipanda kizimbani wapandishe wote wawili. Ni mwendo wa nyundo 30 na adhabu kaliiii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Walaji...
 
Ujinga mtupu, hiyo BANANA COURT inahukumu watu SUMMARILY bila hata ushahidi?

Kesi gani inaendeshwa kwa siku moja bila kuzingatia ushahidi wa kidaktari na kitaalamu?

This is a WRONG PLEA OF GUILTY which needs to be QUASHED.

Huyu hakimu anatembea na upepo ili aonekane anapinga ushoga. Amulikwe.

Sio haki kumfunga mtu kisa tu ametumia mwili wake kufanya mapenzi atakavyo. Kama kuna sheria inayosema hivyo, ni sheria BATILI.

Akate rufaa haraka.
Mkuu si ame plea guilty sasa hapo itachukuawaje muda? Ma procedure yote yanakuja kwa kukataa kosa
 
Ujinga mtupu, hiyo BANANA COURT inahukumu watu SUMMARILY bila hata ushahidi?

Kesi gani inaendeshwa kwa siku moja bila kuzingatia ushahidi wa kidaktari na kitaalamu?

This is a WRONG PLEA OF GUILTY which needs to be QUASHED.

Huyu hakimu anatembea na upepo ili aonekane anapinga ushoga. Amulikwe.

Sio haki kumfunga mtu kisa tu ametumia mwili wake kufanya mapenzi atakavyo. Kama kuna sheria inayosema hivyo, ni sheria BATILI.

Akate rufaa haraka.
Jichanganye na wewe wakudake.....
 
Kosa alilofanya ni kukiri kosa Badla ya kukataaa. Na Mara nyingi Hakimu huwa anaweza muuliza mshtakiwa hata Mara tatu akiona amekubali Mara Zote ni hukumu tu... We unaulizwa uliiba kuku Kwa juma..unasema ndio..haina haja ya kumuita juma kuthibitisha kwani tayari kosa umelikubali
 
Back
Top Bottom