Wewe upo huko nchi za watu au umeishi huko. Naomba kuuliza, hivi ni wazungu wote wana sapoti LGTB au? Mana kwa akili za wabongo zilivyo, yaani kwa sasa ukionekana upo na mzungu hata kama mnapiga dili zenu halali, wao wanahisi mnaeneza ushoga.
Umkonto
Hapana sio Wazungu wote wanao support Ushoga😕wapo wanaoupinga Eg Republican tena wanaupinga kwa nguvu zote huu uchafu🤨🤨🤨
Foristance last year 2022 Congressional Republicans introduced a measure that would prohibit federal money from being used to teach children under 10 about LGBTQ issues
The Bill would prohibit the use of federal funds to teach children about “sexually-oriented material” as well as “any topic involving gender identity.. gender dysphoria, transgenderism, sexual orientation, or related subjects..The effects of such a law, if enacted, would be far-reaching since a range of institutions – schools, libraries, among them – receive public money
Hapo awali kabla hili jambo halijakomaa Europe ndio waliokuwa wanaunga mkono ushoga na sio US..tena nchi zilizokuwa zinazoupinga ni Ufaransa na Uingereza
Lakini kutokana na mfumo wa kuunga mkono uhuru binafsi ndio US wakaungana na David Camerun (Uingereza)kuunga mkono homosexuality..na hapa inasemekana Wamarekani waliokuwa wakiiupinga walikuwa wengi wakaanza kupungua kutokana na kauli ya Obama na takwimu zipo
Tatizo tumekua brain washed in so
Many things na kupenda kuiga kila
kinachofanywa na White people😌Et kwa sababu kuna mateja na hawawezi ishi bila kuacha utegemezi wao kwenye drugs then tutunge sheria za kuhalalisha?🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Kuna watu wamezoea kitabia Cha uwizi na udokozi na hawawezi ishi bila kudokoa na kufanya uhalifu, Je turuhusu wafanye sababu ndivyo wanavyojisikia?🤷♀️🤷♀️🤷♀️
The rule of order hapa ni kuheshimu law of nature full stop..We have been mental slavery for ages its time to speak out our mind