Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Huyo shoga ukimwangalia anavyoongea utajua ni chenga tuu (mental issues), kumfunga ni kumuonea tuu maana hata hakuwa na lawyer wa kumtetea, huwezi kumfunga mtu kwa sababu kakiri kosa, lazima uhakikishe kichwa yake iko vizuri maana wengine ni uwoga tuu au kutokuelewa sheria

Masikini, nimeingiwa na huruma. Right to attorney even if you can’t afford one, government will provide one for you haipo bongo?
 
Actually, nyie ndio WAJENZI BINGWA WA USHOGA.

Huko majumbani mwenu mnawafira watoto wadogo wa sekondari na shule ya msingi mkijifanya ati ni wajomba.

Baadaye hao watoto mliowanajisi wakipata madhara ya kisaikolojia, wanageuka kuwa mashoga halafu MNATAKA KUWAFUNGA JELA.

Huu ni UBINAFSI na UPUMBAVU wa hali ya juu sana.

Nyie mabaradhuli mnaolawiti watoto ndio mnaotakiwa KUSHUGHULIKIWA KWELI KWELI MPAKA MNYOOKE KAMA RULA.
Kila la kheri mtetezi wa Mapunga
 
Binafsi sifikiri kumuhukumu shoga jela kuna saidia kitu.

Lengo la kuweka jela ni kurekebisha tabia, shoga anarekebishwa tabia jela au kuharibiwa?

Kuna vitu ukitafakari unaona hitilafu za kimantiki.
 
Ndio maana kuna shehe mmoja alisema,hata wanaowaingilia nao wakamatwe kwani nao ni janga,hivi mwanaume mgumu kama huyu na sura mbovu,hiyo hamu ya kumuingilia inatoka wapi,hii ni aina ya watu wanaotakiwa nao wakamatwe tu kwani nao ni tatizo...
 
vijana wa paulo right now👇
20230407_135436.jpg
 
Tanzania bwana😂😂😂😂Sasa hapo victim yupo wapi? Na hao waliomuingilia? Km wote adults and Hamna aliyebakwa let him go tu; people wana trauma zao na historia zao. What TZ should do is to protect children tu from being raped and molested na wawe wakali kwa hilo but kwa hii ishu ya adults waacheni wafanye yao but waambieni tu hatutaki mashauzi in public au publicization ya hayo mambo Km Ughaibuni but hutoweza zuia privacy ya consenting adults na hao wengi mnaowakamata hawapo vizuri kichwani that's why they admit tu bila hata kujua it's a crime and the way they look wanaonekana kabisa wagonjwa wa akili
 
Pongezi kwa mahakama kwa kuifuata sheria

Ninyi wengine mnaodai mna hisia na wanaume wenzenu/wanawake wenzenu mjue ya kwamba hakuna Natural occurring creature anakuja na mambo hayo ya kuvutiwa na jinsia yake. "Mmetengenezwa"

Hakun beberu mwenye hisia na beberu mwenzie ama tetea kwa tetea mwenzie. Kwanini kwa binadamu itokee hivyo ??(Sisi Ni sehem ya wanyama )

jaribuni kufikiri
Ishu sio what we like or not, what's normal or not what's natural or not but what adults can and do with their bodies without hurting anyone else? Kwanza natural means anything that can happen in the material reality that's why hata earth quake is natural, killing, rape even genocides are natural. Wanyama wengi pia participate in homosexual activities but watu bado wanabisha. Iwe na madhara, wanaiga or not haiondoi ukweli kwamba miili ni yao. Km ivyo basi let's ban smoking na pombe pia zina madhara but we don't coz waache adults wenyewe waamue Wewe toa maoni tu na madhara km kula masukari mengi and many other things. A crime is a crime for a reason coz it has victims; mtoto akibakwa sawa, mtu yoyote akibakwa sawa kuna victim but watu adults ambao sio ndugu wa damu eti have sex consensually; victim ni nani? Tanzania???
 
Unajua ni mazingira gani yalimfanya akiri?

Unajua alihojiwa na Nani na namna ipi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukifikishwa mahakamani, baada ya kusomewa maelezo ya kukutwa na hatia, Hakimu hukupa muda wa kukubali au kukataa, ukikubali anarudia kukuuliza tena, ukikubali ndo imetoka hivyo hakuna review, rufaa etc
 
Ukifikishwa mahakamani, baada ya kusomewa maelezo ya kukutwa na hatia, Hakimu hukupa muda wa kukubali au kukataa, ukikubali anarudia kukuuliza tena, ukikubali ndo imetoka hivyo hakuna review, rufaa etc
Hahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom