Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela


Masikini, nimeingiwa na huruma. Right to attorney even if you can’t afford one, government will provide one for you haipo bongo?
 
Kila la kheri mtetezi wa Mapunga
 
Binafsi sifikiri kumuhukumu shoga jela kuna saidia kitu.

Lengo la kuweka jela ni kurekebisha tabia, shoga anarekebishwa tabia jela au kuharibiwa?

Kuna vitu ukitafakari unaona hitilafu za kimantiki.
 
Ndio maana kuna shehe mmoja alisema,hata wanaowaingilia nao wakamatwe kwani nao ni janga,hivi mwanaume mgumu kama huyu na sura mbovu,hiyo hamu ya kumuingilia inatoka wapi,hii ni aina ya watu wanaotakiwa nao wakamatwe tu kwani nao ni tatizo...
 
Tanzania bwana😂😂😂😂Sasa hapo victim yupo wapi? Na hao waliomuingilia? Km wote adults and Hamna aliyebakwa let him go tu; people wana trauma zao na historia zao. What TZ should do is to protect children tu from being raped and molested na wawe wakali kwa hilo but kwa hii ishu ya adults waacheni wafanye yao but waambieni tu hatutaki mashauzi in public au publicization ya hayo mambo Km Ughaibuni but hutoweza zuia privacy ya consenting adults na hao wengi mnaowakamata hawapo vizuri kichwani that's why they admit tu bila hata kujua it's a crime and the way they look wanaonekana kabisa wagonjwa wa akili
 
Ishu sio what we like or not, what's normal or not what's natural or not but what adults can and do with their bodies without hurting anyone else? Kwanza natural means anything that can happen in the material reality that's why hata earth quake is natural, killing, rape even genocides are natural. Wanyama wengi pia participate in homosexual activities but watu bado wanabisha. Iwe na madhara, wanaiga or not haiondoi ukweli kwamba miili ni yao. Km ivyo basi let's ban smoking na pombe pia zina madhara but we don't coz waache adults wenyewe waamue Wewe toa maoni tu na madhara km kula masukari mengi and many other things. A crime is a crime for a reason coz it has victims; mtoto akibakwa sawa, mtu yoyote akibakwa sawa kuna victim but watu adults ambao sio ndugu wa damu eti have sex consensually; victim ni nani? Tanzania???
 
Unajua ni mazingira gani yalimfanya akiri?

Unajua alihojiwa na Nani na namna ipi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukifikishwa mahakamani, baada ya kusomewa maelezo ya kukutwa na hatia, Hakimu hukupa muda wa kukubali au kukataa, ukikubali anarudia kukuuliza tena, ukikubali ndo imetoka hivyo hakuna review, rufaa etc
 
Ukifikishwa mahakamani, baada ya kusomewa maelezo ya kukutwa na hatia, Hakimu hukupa muda wa kukubali au kukataa, ukikubali anarudia kukuuliza tena, ukikubali ndo imetoka hivyo hakuna review, rufaa etc
Hahahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…