Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa sijui huwa wanawaza nini akili mwao!! Ni ajabu sana, hivi kwa akili za kawaida tu unakubali kua uliingilwa huku ukijua unalimwa nyundo kibao.

Kosa halina hata ushahidi jitu linakubali.

Ni kwa sababu kosa lenyewe ni la kimchongo.

Pengine alifikiri kwamba anatenda jambo halali, lakini akashangaa anakamatwa na kuburutwa mahakamani. He is simply being GENUINE and TRUE to himself.

Ni jambo la ajabu kushambuliwa kwa "kosa" la kutumia mwili wako mwenyewe.

The victim is likely be confused as to whether he has committed a crime or not. He is simply unaware, not of the law, but of the fact that he is a "criminal" for an act that is not ACTUALLY a crime.


It is understandable. Lakini kwa vile tunaishi kwenye nchi ya manyumbu, wacha tubaki watazamaji.
 
Huyo anatoka mchana kweupeee,
Hakuna kesi hapo na huyo Hakimu mchovu awajibishwe huyo hata rushwa anachukua hana weledi wa kazi
Mpuuzi sana.

Ametumia mitego ya kisheria kumuonea huyo dogo.

Nchi ya manyumbu hii, tarajia lolote kutoka popote.
 
Amekiri kosa,ulitaka mahakama ifanye nini tena
Mimi nimefuatilia tangu huyo dogo anadhalilishwa kwenye MAKAMERA. Ni uonevu mtupu.

Huwezi kummulika mtu na makamera unamuhoji huku unamrekodi mitandaoni na kumpiga na mawe. KWA HAKI IPI AMA UTAKATIFU UPI?

Nchi ya ajabu sana ambapo wahuni wanafanya tukio la kuumiza mtu na wanapongezwa kisha muhanga anafungwa jela.

Kwa saikolojia ya yule dogo, kwa kudhalilishwa na kuumizwa kihisia na kiakili tangu alipokamatwa, ni wazi alikiri kosa kwa sababu ya kutokuwa sawa. Alishachakazwa kiakili.

Ameonewa sana sana sana, na akimlilia mungu wake, mliohusika mtapata karmic pay back yenye maumivu makali sana.

Ni bora mtengue mlichokifanya.
 
Yule lakini si alikuwa kavaa kigauni cheusi Kama demu lakini, kosa kumpiga piga
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabasha jinsia nyingine, sio wanaume hao. Wapo kwenye kundi la LGBTQ
LGBTQ inajumuisha wasagaji, mashoga, mabasha, walibadili jinsia na wasiojulikana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii JF sio yako, pambania maisha yako kwani,

Am out, poleeeeh
Sio yangu Ila hatutaki choko humu. Tutachunguza kama hii id ni ya cocastic, tukibaini basi jua kinachofata ni kukimbizwa humu
 
Jamaa hajui kua kuingiliwa ni kosa kisheria??
Hao watu akili zao haziko sawa, mijini wapo wengi tu tunakutana nao mjini, the way wanajiweka unaona kabisa huyu dishi limeyumba.

Hicho kitendo wanachofanyiwa kinawaharibu sana. Wapo dunia ya na jinsia ya peke yao kikeni hawapo wala kiumeni hawapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…