Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Huyu sio mwehu kweli? Hii nchi ina mambo ya ajabu. Yaani mtu anakamatwa, anapatiwa kichapo , then anapelelekwa mahakamani then anakiri? Je madaktari walimpima akaonekana kama ana mari.da au la? au kukiri kunatosha?
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Kuna mmoja mitaa ya kwetu alijifanya hivyo lkn ukiponzwa ukamuita kando umekwisha anakugeuzia kibao anakomba Kila kitu anakuwa na bonge la sime
 
I don't condone ushoga ila muwe mnatoa hoja zenye mantiki mnapotetea/kupinga hoja.

Hakuna mnyama anavaa nguo kwanini binadamu anavaa?

Hakuna mnyama analima kwanini binadamu analima?

Kufananisha binadamu na wanyama is absurd.
Kosa la huyo Shoga wa Mbeya ni kujitangaza hadharani kuwa ni Shoga ama kwa maneno au kwa mavazi.

Hivi angetulia ndani na basha wake ni nani ange mbugudhi ?

Tatizo la Mashoga hawataki kujiridhisha sirini na Mabasha wao.
Wanataka kufundisha Ushoga wao kwa watoto wetu hali ya kuwa wao hawataki kuzaa.

Ndio maana wazazi tunakasirika na kutaka wanyongwe tu. Kama wewe ni Shoga na una basha wako, kwanini hutulii Naye.

Mimi naridhika na hukumu kuwa Shoga akijitangaza na auliwe tu.

Mashoga ishu zao ni kujiremba, kutongozwa, kufirwa, kula, kunywa, kucheza muziki na kujipaka poda.

Hivi huu ndio ukiwa msimamo wa Taifa? si tutatawaliwa hata na Senene

Naomba mfirane huko huko chumbani kwa siri hadi hamu iwaishe.
Mkijitokeza hadharani mimi niko tayari kuwaua.
 
Sijui unamjibu nani au unajibu hoja gani toka kwangu unabwabwaja tu
 
Mahakama ya wilaya kyela- Mbeya, imemuhukumu kijana mmoja kwa jina Cloudy kwa kosa la kuingiliwa kinyume Cha maumbile, kijana Huyo amekiri makosa hayo mbele ya hakimu mkazi wa wilaya ya kyela.

HILI ni Pepo, kwasababu hufanya hivyo siyo kwa malipo,bali hutoka nyumbani kwao akiwa akavaa mavazi ya kike na kuingia mawindoni [emoji24][emoji24][emoji24]
This inocent boy,amekili dhambi hiyo, hivyo mahakama, imetasfsiri Sheri na kumhukumu kifungo Cha miaka 30 gerezani ( obviously atatakiwa kupelekwa kiwila prison).

Sasa inabidi serikali ifanye kutenga special rehabilitation centers for people who have affected by this problem, maana huko gerezani itakua ndiyo kuwapoteza kabisa.

Indonesia wao tayari wanafanya hivyo imesaidia kurudisha baadhi ya waathirika katika hali za uanaume.

RAI yangu kwa viongozi wa Dini especially wa kipentecostal, tuingie katika Maombi, hii ni habari mbaya, these are devil spirits, how can a man desires to be hooked up by his fellow man?

Wakati tunaumia kupambana na jinsi matamanio ya mwili kwa hawa Dada zetu, Kumbe kuna kiumbe hana mpango huo,yeye anawaza kugongwa?

Lakini hata wanaume wanaowaingilia hawa watu, what do you really want from them? Pleasure?, uzao? Ushirikina?

God argued with Ibrahim, that He could have spared Sodoma and Gomorrah, if only five inocent people were there, [emoji24][emoji24][emoji24] I know that kyela town is a holy Land, there a lot of God fearing people, let them pray for this devil's mystics.
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Huyu dogo ni chizi hazijatimia toka mtoto,kwa mnaoelewa psychology,muangalie kichwa chake tu utatambua [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ila Kuna wenzetu Wana roho ngumu sana, kibaba kama hicho kinaonekana kina mbavu kabisa unaanza vipi kudindisha?? Ila aisee watu tumetofautiana aisee
Hilo ndiyo linanifikirisha Sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]kinyaa
 
H
Iyo ni Kyela, ingekua tukio limetokea zanzobar ingeenea Tanzania nzima na viunga vyake
Haya mambo hayana mipaka,huko ni Homeland,cha ajabu nimeeenda likizo nimekuta Kuna vijana walizamia SA,wamefungua vijiwe vya Ngada,na mateja Ni Kama dar tu [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ujinga mtupu, hiyo BANANA COURT inahukumu watu SUMMARILY bila hata ushahidi?

Kesi gani inaendeshwa kwa siku moja bila kuzingatia ushahidi wa kidaktari na kitaalamu?

This is a WRONG PLEA OF GUILTY which needs to be QUASHED.

Huyu hakimu anatembea na upepo ili aonekane anapinga ushoga. Amulikwe.

Sio haki kumfunga mtu kisa tu ametumia mwili wake kufanya mapenzi atakavyo. Kama kuna sheria inayosema hivyo, ni sheria BATILI.

Akate rufaa haraka.
Pia kwa kuongeza huyo mtoto ni chizi he was born with autism, kilisoma na kuacha shule ya msingi kyela,ndandalo,kalikua kanazurula sokoni, Sasa hilo la kuingiliwa itakua kweli Lakini wahuni took advantage over him kwa sababu mental disorder yake.
Hata walipomuuliza kuhusu hizo nguo za kike alizovaa, alisema ni zangu [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mtakuja wafunga wendawazimu!
Sio vibaya kama angepimwa Afya ya Akili pamoja na huyo aliye muingilia!
Yaani huyo jamaa inaonekana ni mwendawazimu kwa kumtizama tu. Halafu wamempiga balaa, hivi ukimkamata mtu asiye na silaha halafu mnampiga hii imekaaje?
 
Pia kwa kuongeza huyo mtoto ni chizi he was born with autism, kilisoma na kuacha shule ya msingi kyela,ndandalo,kalikua kanazurula sokoni, Sasa hilo la kuingiliwa itakua kweli Lakini wahuni took advantage over him kwa sababu mental disorder yake.
Hata walipomuuliza kuhusu hizo nguo za kike alizovaa, alisema ni zangu [emoji24][emoji24][emoji24]
Tena huyo hakim u alitakiwa afukuzwe kazi kuendesha kesi kezembe.
 
Yaani huyo jamaa inaonekana ni mwendawazimu kwa kumtizama tu. Halafu wamempiga balaa, hivi ukimkamata mtu asiye na silaha halafu mnampiga hii imekaaje?
Inasikitisha!
Angekamatwa na alive Mfira Ili ifahamike Kama alimbaka Sheria Imwangukie!
Naomba Kama Kuna wanasheria Humu wamsaidie!
 
Pia kwa kuongeza huyo mtoto ni chizi he was born with autism, kilisoma na kuacha shule ya msingi kyela,ndandalo,kalikua kanazurula sokoni, Sasa hilo la kuingiliwa itakua kweli Lakini wahuni took advantage over him kwa sababu mental disorder yake.
Hata walipomuuliza kuhusu hizo nguo za kike alizovaa, alisema ni zangu [emoji24][emoji24][emoji24]
Aiseee.. inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom