Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Ila kuna watu ni wachafu sana
Mbona hata havutii yani unamuingilia vipi

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Ni kweli, lakini pamoja na hayo bado AMEONEWA SANA na KUDHULUMIWA.

Nchi timamu haiwezi kuwa na sheria ya kuwafunga watu jela kwa sababu tu eti wanatumia miili yao kufanya ngono kwa namna fulani.

Siamini katika serikali inayoamua nani amtombe nani au nani afirwe au nani asifirwe.

Ukiona serikali ya aina hiyo, ujue ni SERIKALI MUFILIS iliyoshindwa kuleta MAENDELEO YA KWELI na badala yake INAJIBANZA kwenye TUVITU TUDOGO TUDOGO ili KUJIZOLEA MAKIKI YA DEZO DEZO.
Hakuna cha kuonewa wala nini,hiki ndicho anastahili kukipata
 
Hii kesi kama atapata wakili atashinda rufaa.
Sitetei ushoga, ila naona hukumu ya kesi yake kama imekaa kimuhemko na ushabiki wa wimbi la vita dhidi ya ushoga. Tujiulize aliye kuwa anamuingilia yuko wapi? Alikutwa anaingiliwa? Alikubali kosa baada ya vitisho au vipigo?
 
Pia kwa kuongeza huyo mtoto ni chizi he was born with autism, kilisoma na kuacha shule ya msingi kyela,ndandalo,kalikua kanazurula sokoni, Sasa hilo la kuingiliwa itakua kweli Lakini wahuni took advantage over him kwa sababu mental disorder yake.
Hata walipomuuliza kuhusu hizo nguo za kike alizovaa, alisema ni zangu [emoji24][emoji24][emoji24]
Yule wa mbeya wamemuonea, nilipata habari kuwa ni mgonjwa wa akilii, na hata muonekano wake unaonesha hayuko timamuu.
 
Mahakama ya wilaya kyela- Mbeya, imemuhukumu kijana mmoja kwa jina Cloudy kwa kosa la kuingiliwa kinyume Cha maumbile, kijana Huyo amekiri makosa hayo mbele ya hakimu mkazi wa wilaya ya kyela.

HILI ni Pepo, kwasababu hufanya hivyo siyo kwa malipo,bali hutoka nyumbani kwao akiwa akavaa mavazi ya kike na kuingia mawindoni [emoji24][emoji24][emoji24]
This inocent boy,amekili dhambi hiyo, hivyo mahakama, imetasfsiri Sheri na kumhukumu kifungo Cha miaka 30 gerezani ( obviously atatakiwa kupelekwa kiwila prison).

Sasa inabidi serikali ifanye kutenga special rehabilitation centers for people who have affected by this problem, maana huko gerezani itakua ndiyo kuwapoteza kabisa.

Indonesia wao tayari wanafanya hivyo imesaidia kurudisha baadhi ya waathirika katika hali za uanaume.

RAI yangu kwa viongozi wa Dini especially wa kipentecostal, tuingie katika Maombi, hii ni habari mbaya, these are devil spirits, how can a man desires to be hooked up by his fellow man?

Wakati tunaumia kupambana na jinsi matamanio ya mwili kwa hawa Dada zetu, Kumbe kuna kiumbe hana mpango huo,yeye anawaza kugongwa?

Lakini hata wanaume wanaowaingilia hawa watu, what do you really want from them? Pleasure?, uzao? Ushirikina?

God argued with Ibrahim, that He could have spared Sodoma and Gomorrah, if only five inocent people were there, [emoji24][emoji24][emoji24] I know that kyela town is a holy Land, there a lot of God fearing people, let them pray for this devil's mystics.
Yaan mahakama za TZ zinapochosha hapoo tyuuh, hukumu zinatolewaa bila kufuata kanuni na taratibu.

Tupinge huu uonevu,
 
Yaani huyo jamaa inaonekana ni mwendawazimu kwa kumtizama tu. Halafu wamempiga balaa, hivi ukimkamata mtu asiye na silaha halafu mnampiga hii imekaaje?
Wabongo wameshavurugwa na ugumu wa maisha wanaishia kuumiza wengine, hiyo ndo ahueni yao, wanadhani wakifanya hivyo watakua nafuu kumbe hakuna lolotee.

Unafiki mbayaa sana.
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Angepigwa mpk kifo
Huko Jela ataenda kupumzika tu
 
Na aliyemwingilia na ‘nyuma mwiko’ inabidi akamatwe na atwangwe miaka 30 pia.
 
Alishatokaaa, kumbe ni mgonjwa wa akili. Ila masela na wahuni walikua wana muingilia kwa nguvu.
 
Alishatokaaa, kumbe ni mgonjwa wa akili. Ila masela na wahuni walikua wana muingilia kwa nguvu.
Haya mambo ya kutetea hawa ndio yanakera, sema kwa kuwa umeshakua shemeji ngoja nikae kimya tu.
 
Back
Top Bottom