Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Hivi huko gerezanu hili litapelekwa sehemu ya wanawake au ya wanaume?
 
H Iyo ni Kyela, ingekua tukio limetokea zanzobar ingeenea Tanzania nzima na viunga vyake
 
Hii hukumu ingeenda hadi kwa waingiliaji sasa..
 
Huu mwili wa kazi kabisa ,

Sijui nini kimempata daah 🤔
 
Ujinga mtupu, hiyo BANANA COURT inahukumu watu SUMMARILY bila hata ushahidi?

Kesi gani inaendeshwa kwa siku moja bila kuzingatia ushahidi wa kidaktari na kitaalamu?

This is a WRONG PLEA OF GUILTY which needs to be QUASHED.

Huyu hakimu anatembea na upepo ili aonekane anapinga ushoga. Amulikwe.

Sio haki kumfunga mtu kisa tu ametumia mwili wake kufanya mapenzi atakavyo. Kama kuna sheria inayosema hivyo, ni sheria BATILI.

Akate rufaa haraka.
 
Ndio nao wanyongwe maana basha naye ni shoga tu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…