Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Jinai zingekua zinaendeshwa hivyo basi hakuna angebaki
Ukifika mahakamani baada ya kusomewa maelezo ya awali, ukipewa nafasi ya kuongea ukikubali unahukumiwa hapo hapo.
Ukikataa unaacha nafasi ya kujitetea na kuleta mashahidi, waliokuhukumu pia huleta mashahidi ambao kupitia ushahidi utahukumiwa kufungwa au kuwa huru.

We jichanganye ndo utajua hujui
 
angepelekwa kwa daktari wakati mwenyewe kishasema ni kweli kafanya ushoga mngelalamika ameingiziwa vidole viwili virefu vya daktari bila idhini yake

Keshakiri kosa , ushahidi wa nini tena ? Umesoma wapi sheria ?
Kwani angasema hafanyi Ushoga angeachwa?
Si ungetafutwa ushahidi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo anaenda jela. Anaingiliwa pia na huko..... Na Hao watakaomuingilia huko jela watarudi mtaani vifungo vikiisha kuendeleza ushetani wao[emoji849][emoji849][emoji22] kwa watoto wetu. MI nadhani wangekuwa na jela Yao.
Ingawa kesi sijaelewa yaani wamemkamata amevaa nguo za kike then mahakamani amekiri ameruhusu kuingilia na wanaume?? [emoji849][emoji849] Asingekiri je hapo mahakamani kesi ingekuwa ipi?
 
Ukifika mahakamani baada ya kusomewa maelezo ya awali, ukipewa nafasi ya kuongea ukikubali unahukumiwa hapo hapo.
Ukikataa unaacha nafasi ya kujitetea na kuleta mashahidi, waliokuhukumu pia huleta mashahidi ambao kupitia ushahidi utahukumiwa kufungwa au kuwa huru.

We jichanganye ndo utajua hujui
Hakuna kitu kama hicho kwenye makosa ya jinai,
Inawezekana hata hujui jinai ni nini na kesi za jinai zinaendeshwaje
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736

Hata hao wanao toboa mtaro wa huyu hawana akili,unawezaje mtamani Mwanaume mwenzio alivyo mbaya na mamisuli hivyo?

Wawe wanatafutwa wote mliwaji na walaji,wote ni washenzi na haramu wakubwa.
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736

TANZANIA HAIPO KIMYA DHIDI YA UJINGA HUU, TUNAKULA NAO SAHANI MOJA KIMYA KIMYA KWA NAMNA HII, PIGA 30!TU.
 
Tanzania bwana😂😂😂😂Sasa hapo victim yupo wapi? Na hao waliomuingilia? Km wote adults and Hamna aliyebakwa let him go tu; people wana trauma zao na historia zao. What TZ should do is to protect children tu from being raped and molested na wawe wakali kwa hilo but kwa hii ishu ya adults waacheni wafanye yao but waambieni tu hatutaki mashauzi in public au publicization ya hayo mambo Km Ughaibuni but hutoweza zuia privacy ya consenting adults na hao wengi mnaowakamata hawapo vizuri kichwani that's why they admit tu bila hata kujua it's a crime and the way they look wanaonekana kabisa wagonjwa wa akili
Concept ya «consenting adults» is not an excuse to break the law., which is clear as the fact that the sun rises in the east and sets in the west. You have a point though, huwezi ukakomesha hii tabia kwa kuwapiga mvua submissives wakati the dominants wanapeta. Sijui hiyo sheria husika inavyokuwa interpreted lkn hii ni great injustice overall.
 
Of course consenting adults make sense Km they don't hurt anyone else Ndo maana nikasema we should base laws not as prescription kwamba kila mtu has to participate but nani victim na pia tuache unafki kwani kuna many things kw religion we don't punish that are also sins Km fornication, Adultery, alcohol and smoking and eating pork for Muslims and many others

You prolly right, but allowing «consenting adults» to engage in perverse sexual behavior as long as they «consent» is still immoral according to traditional african norms, culture and traditions. It’s a Western pconcept that does not apply here.
 
What African norms? There are 55 countries and tens of thousands of tribes. I'm not asking anyone to approve of anything; feel free to hate and loathe anything just leave people alone if no one is getting hurt
 
As far as participation in deviant sexual behavior, the concept of “consenting adults” is non existent in most African societies.
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile...
Huyo aliemwingilia yeye haendi jela? Kweli Tanzania ni nchi ya kishenzi sana na ina sheria za kifedhuli na kifirauni
 
Back
Top Bottom