Spika wa bunge la Tanzania na mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini Dkt Tulia Ackson, ametoa zaidi ya tani mbili za chakula na mboga kwa watu wenye uhitaji zaidi jijini Mbeya kwaajili sikukuu za mwisho na mwanzo wa mwaka.
Akikabidhi chakula kwa watu hao Dkt Tulia amesema wanatarajia kutoa chakula kwa wahitaji takribani 3000 kwenye kata zote 36 za jiji la Mbeya kwa lengo la kutoa tabasam kwa watu hao ili nao washeherekee sikukuu wakiwa na furaha kama watu wengine.
Nao baadhi ya watu wenye uhitaji zaidi kwenye kata za jiji la Mbeya waliopatiwa chakula hicho wameeleza hisia zao ikiwa ni pamoja na kumshukuru mbunge wao kwa kuwajali kipindi hiki cha sikukuu.

That’s human nature. Binadamu walio wengi wanathamini sana recognition! Uliwahi kumuona hata Marehemu Reginald Mengi akitoa msaada kwa jamii kimyakimya, bila uwepo wa vyombo vya habari? Politicians ndiyo usiseme; kila msaada lazima autoe mbele ya camera, kwa fanfare!