Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
hayana hata aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayana hata aibu
Mengine hata hayajifunzi kwa yaliyopita bado yameshupaza shingohayana hata aibu
CCM ni matapeli yoteMengine hata hayajifunzi kwa yaliyopita bado yameshupaza shingo
Mawakala wake bado wanapokea maagizo kwake na wanaendelea kusumbua watu hapa duniani na hivyo kimsingi yupo kazini. Na maandiko yanasema anazunguka kama Simba mwenye njaa akimtafuta mtu wa kummeza.Shetani kwa mujibu wa maandiko kwenye biblia alishafungwa minyororo huko kuzimu hadi siku ya kiyama
🤣🤣🤣mkuu uko vizuri kwenye maandikoMawakala wake bado wanapokea maagizo kwake na wanaendelea kusumbua watu hapa duniani na hivyo kimsingi yupo kazini. Na maandiko yanasema anazunguka kama Simba mwenye njaa akimtafuta mtu wa kummeza.
Chadema ni chama cha wahuni wahuniWanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda ya Mbeya, BAADA YA SERIKALI KUTOKUWA NA NIA YA KUENDELEA NA KESI HIYO.
Unyama kama huu wa kishamba wametendewa Viongozi na Wanachama wengi wa Chadema Nchi mzima, hasa baada ya serikali ya awamu ya 5 kushindwa kabisa kujibu HOJA NZITO ZA CHADEMA kwenye Majukwaa ya kisiasa , ndipo wakaamua kutumia Jeshi la Polisi chini ya Simon Sirro kuwakomesha wanachama wa Chadema.
Bali sisi kama tulivyosema siku zote, na Tunarudia tena kusisitiza kwamba KILA UBAYA UTALIPWA TU.
Mungu ibariki Chadema
AmenMungu mwenyewe atashughulika nao
Hahaha kumbe bado mpo wengiChadema ni chama cha wahuni wahuni
Hoja nzito ndiyo hoja gani
CCM ni chama cha matapeli tupuChadema ni chama cha wahuni wahuni
Hoja nzito ndiyo hoja gani
huyu wa sasaIGP yupi? Asisahau na la Tundu Lissu.
Unadhani kila anayeona upuuzi wa chadema ni mwana CCM au lazima awe ni mpenzi wa siasa? We ni mwehuCCM ni chama cha matapeli tupu
Mnajificha kwa kuogopa aibu au nini ?Unadhani kila anayeona upuuzi wa chadema ni mwana CCM au lazima awe ni mpenzi wa siasa? We ni mwehu
MwenyeweUnadhani kila anayeona upuuzi wa chadema ni mwana CCM au lazima awe ni mpenzi wa siasa? We ni mwehu
Dua zetu zimeshaanza kuzaa matunda kwa siroWanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda ya Mbeya, BAADA YA SERIKALI KUTOKUWA NA NIA YA KUENDELEA NA KESI HIYO.
Unyama kama huu wa kishamba wametendewa Viongozi na Wanachama wengi wa Chadema Nchi mzima, hasa baada ya serikali ya awamu ya 5 kushindwa kabisa kujibu HOJA NZITO ZA CHADEMA kwenye Majukwaa ya kisiasa , ndipo wakaamua kutumia Jeshi la Polisi chini ya Simon Sirro kuwakomesha wanachama wa Chadema.
Bali sisi kama tulivyosema siku zote, na Tunarudia tena kusisitiza kwamba KILA UBAYA UTALIPWA TU.
Mungu ibariki Chadema
Mlaani pia aliyefanya huo unyamaVIVA SAMIA VIVA
Au Gambushi. Wakizingua piga siku CongoNgoja tupige simu Sumbawanga
We kumumba fc tuUnadhani kila anayeona upuuzi wa chadema ni mwana CCM au lazima awe ni mpenzi wa siasa? We ni mwehu
Sasa hivi hawataki kuonekana. Mataga kwishneyMnajificha kwa kuogopa aibu au nini ?