Mbeya: Wanachama 7 wa CHADEMA walioswekwa Rumande waachiwa huru

Shetani kwa mujibu wa maandiko kwenye biblia alishafungwa minyororo huko kuzimu hadi siku ya kiyama
Mawakala wake bado wanapokea maagizo kwake na wanaendelea kusumbua watu hapa duniani na hivyo kimsingi yupo kazini. Na maandiko yanasema anazunguka kama Simba mwenye njaa akimtafuta mtu wa kummeza.
 
🤣🤣🤣mkuu uko vizuri kwenye maandiko
 
Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda ya Mbeya, BAADA YA SERIKALI KUTOKUWA NA NIA YA KUENDELEA NA KESI HIYO.

Unyama kama huu wa kishamba wametendewa Viongozi na Wanachama wengi wa Chadema Nchi mzima, hasa baada ya serikali ya awamu ya 5 kushindwa kabisa kujibu HOJA NZITO ZA CHADEMA kwenye Majukwaa ya kisiasa , ndipo wakaamua kutumia Jeshi la Polisi chini ya Simon Sirro kuwakomesha wanachama wa Chadema.

Bali sisi kama tulivyosema siku zote, na Tunarudia tena kusisitiza kwamba KILA UBAYA UTALIPWA TU.

Mungu ibariki Chadema
Chadema ni chama cha wahuni wahuni

Hoja nzito ndiyo hoja gani
 
Dua zetu zimeshaanza kuzaa matunda kwa siro
 
Back
Top Bottom