Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.

Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani

Ifike mahali uwe na akili kidogo Chris Lukosi. Hakuna mtu awezaze kufurahia mauaji ya watoto kama hayo yakinyama bora wangepambana na mwizi wao wakafanya kama ilivyotokea kwa MABINA.
 

Nikweli tunashukuru kwakufukuzwa ndani ya jeshi la polisi kutokana na tabia za ujambazi ulizokua nazo. Kwanza mali zetu ziko salama kwasasa.
 
aiseee babayangu sasa hapa chadema wanahusikaje unataka kusema mbeya yote hakuna wafuhasi wa c c m embu acheni ujinga na tuache polisi wafanye kazi yao
 
Eeeeeeeeeee MUNGU TUSAIDIE,Badala ya kutafuta dawa ya haya matatizo mnaanza malumbano yasiyo na kichwa wala mguu.Inahusu nini wewe kuwa Polisi?Kufuta Chadema?.Huoni huo uhai wa hawa watoto waliokufa katika mazingira tatanishi?.Mungu tusaidie tuwe na ufahamu na hekima
 

Eti "niliacha upolisi" sema "ULITIMULIWA" , kwa nini hupendi kusema ukweli mbulumundu !??
 
unaonekana kama unafurahia vile. watoto hao wasio na hatia wanahusika vipi. halafu unaweka na ushabiki wa kivyama. kwa kweli nakuona kama taahira kufurahia upumbavu huu. so sad kwa watoto wasio na hatia. masikini.
 
Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.

Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani

Umekua mwili akili ndogo! hapo kwenye hii story ya kusikitisha Chadema inaingiaje?
 

Wewe si ulifukuzwa kwasababu ya ujinja uliokuwa unafanya!
 
Hili jambo si jema tunatakiwa kulizibiti. Lakini pia tukibaliane kwamba kuwa kiongozi wa ccm si ndo kupewa uhalali wa kuwa juu ya sheria.viongozi tifuate sheria. Why viongozi wa ccm tu
 
What a ----!!
Wala hawaja fanya vizuri ni dhambi kubwa na wote walio husika kuuwa lazima watakufa kwa kuuwawa,
 
Hii tabia ya kuchukua maamuzi mikononi mwa watu ina waathiri wengi wasio na hatia kwa makosa yasiowahusu.
 
Umekua mwili akili ndogo! hapo kwenye hii story ya kusikitisha Chadema inaingiaje?
Kwa polisi hapa uchunguzi ni rahisi sana

Waende kwenye tawi la karibu la chadema na kusomba wote, lazima watapata washitakiwa tu
 

Umesomeka kwa nguvu ya tano.maana ukicheka na pimbi atakudharau sana.
 
Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.

Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani

Zamani ulikuwepo, ww mtoto mtoro
 
Msitumie misiba ya watu kama mtaji wa kisiasa,

Kuweka picha hizi hapa ni kuwatonesha wafiwa, hivi kwa nini mnapenda kufanya hivi? angekuwa baba yako ndio aliuawa hivi ungependa kuona picha yake inauzwa mitaani kama hivi?

JITAMBUE KENGE WEE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…