Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 257
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.
Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.
Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi,kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.
kwa Momba ardhi haijafika huko huyo diwani ana lake jambo na wananchi wake na iweje mdhulumaji aendelee kuishi na adhabu wapewe watoto? nadhani wahusika watafutwe kwa udi na uvumba na waondoke